Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE... BELLA KUWEKA HISTORIA MPYA

Stori: Showbiz WAKATI siku zikizidi kukatika kuelekea Desemba 6, katika ule Usiku wa Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar ambapo Mfalme wa Masauti, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuweka historia mpya ndani ya ukumbi huo. Mfalme wa Masauti, Christian Bella ‘Obama’. Akipiga stori na Showbiz, Meneja wa Bella, Amiri Marusu aliongelea usiku huo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE BELLA KUWEKA HISTORIA LEO

DAR ES SALAAM,  Tanzania
YAMETIMIA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani, hatimaye leo, Desemba 6, mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’, anatarajiwa kuweka historia mpya katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’. Meneja wa Bella, Amiri Marusu,...

 

10 years ago

GPL

BELLA AITIKISA DAR LIVE USIKU WA NANI KAMA MAMA

Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

NANI KAMA MAMA YA CHRISTIAN BELLA ILIVYOTAMBULISHWA DAR LIVE

BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella ‘Obama’ Desemba 6, 2014 iliutikisa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar baada ya kuwapagawisha mashabiki kwa shoo ya nguvu iliyoambatana na utambulisho wa wimbo wa Bella uitwao 'Nani Kama Mama'.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bella aitikisa DARLIVE usiku wa nani kama Mama

DALLIVE15

Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

DALLIVE2

Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.

Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao.

Mashabiki wakicheza na Christian Bella ‘Obama’.

DALLIVE3

Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ (hayupo pichani).

Christian...

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA ‘NANI KAMA MAMA’ YA BELLA USIPIME

Mashabiki wakimtunza Bella baada ya kuwakuna. Bella na Banana wakikamua. Matonya akitoa sapoti kwa vibao vyake kikiwemo cha 'Vailet'.…

 

11 years ago

Bongo5

Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua

Muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Nani Kama Mama’ amesema wimbo huo aliutunga baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua. “Mwaka 2012 nilienda Sweden kwa mke wangu ambaye alikuwa anajifungua hivyo nililazimika kuwepo ili kushuhudia mtoto wangu akizaliwa,” ameliambia gazeti la Mwanaspoti.”Nilishuhudia kila kitu na sasa nina watoto […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani