Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Christian Bella azungumzia siri ya kufanikiwa kama msanii wa bendi anayejitegemea

Ali Choki, Khalid Chokoraa, Super Nyemwela na wasanii wengine wa bendi wamewahi kujaribu kuimba kama solo artists lakini hawakuweza kufanikiwa lakini si kwa Christian Bella. Muimbaji huyo aliyeanza kujulikana na bendi yake ya Akudo, kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wanaopendwa zaidi nchini Tanzania. Mwaka huu, Bella amekuwa miongoni mwa wasanii waliopiga show za Kili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

10 years ago

Mwananchi

Christian Bella azungumzia bifu lake na Zebingwa

Kwa miezi kadhaa sasa kumekuwa na taarifa za uwepo wa bifu kati ya wanamuziki wawili kutoka Malaika Band, Christian Bella na Toto Zebingwa.

 

10 years ago

GPL

HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA

Na Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
Wikiendi iliyopita, dunia nzima ilikuwa ikiadhimisha siku ya Valentine’s Day au kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao! Mambo yalinoga ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambapo wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ na Mzee Yusuf walifanya yao na kuzikonga vilivyo nyoyo za maelfu ya mashabiki waliofurika, Ijumaa Wikienda lilikuwepo kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Mkali wa mapenzi,...

 

9 years ago

Bongo5

Hakuna msanii Bongo anayefanya show nyingi zaidi yangu — Christian Bella

Mfalme wa masauti, Christian Bella aka Obama amejigamba kuwa hakuna msanii hapa Tanzania anayefanya show nyingi kuliko yeye. Bella ameiambia Bongo5 kuwa kama akiamua kufuata mahitaji ya watu wanaomwitaji hawezi kupata muda wa kupunzika. “Unajua nyimbo zangu zimefanya watu wanihitaji sana,” amesema muimbaji huyo. “Hakuna msanii anayefanya show nyingi hapa Bongo kunizidi mimi. Yaani napigiwa […]

 

10 years ago

GPL

NANI KAMA MAMA YA CHRISTIAN BELLA ILIVYOTAMBULISHWA DAR LIVE

BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella ‘Obama’ Desemba 6, 2014 iliutikisa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar baada ya kuwapagawisha mashabiki kwa shoo ya nguvu iliyoambatana na utambulisho wa wimbo wa Bella uitwao 'Nani Kama Mama'.

 

11 years ago

Bongo5

Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua

Muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Nani Kama Mama’ amesema wimbo huo aliutunga baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua. “Mwaka 2012 nilienda Sweden kwa mke wangu ambaye alikuwa anajifungua hivyo nililazimika kuwepo ili kushuhudia mtoto wangu akizaliwa,” ameliambia gazeti la Mwanaspoti.”Nilishuhudia kila kitu na sasa nina watoto […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani