Picha: Christian Bella awashirikisha Weusi, Nahreel kutayarisha ngoma
Christian Bella ameamua kujichanganya kwenye muziki wa hip hop kwa kuwashirikisha Wuesi kwenye ngoma mpya. Bella ameingia kwenye studio za The Industry ya Nahreel kurekodi wimbo na Joh Makini na G-Nako. “Kazi imeisha Leo na Weusi, ratiba ni mwishoni October tunaachia Nagharamia na Alikiba na mwishoni November nakuja na Joh Makini, G.Nako nA Nahreel,” ameandika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi..
Nafasi ya muziki kwa sasa imekua kubwa sana kiasi kwamba wasanii wetu wa Tanzania mbali na kutotoa album tena lakini wamekua na nafasi ya kuuza singo moja moja, mitandaoni na huko ndio zinakusanywa pesa nyingine pia na matunda ya muziki wao. Sasa tovuti inayouza ngoma za wasanii mitandaoni, Mkito.com wametupa list kamili ya wasanii waliiongoza […]
The post Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi.. appeared first on...
9 years ago
Bongo514 Dec
Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya
![Dully](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-300x194.jpg)
Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.
Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.
“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...
9 years ago
Bongo521 Dec
Tazama picha za behind the scenes za video ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella
![20151221025145 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151221025145-1-300x194.jpg)
Alikiba na Christian Bella wameachia video ya wimbo wao wa pamoja ‘Nagharamia’ iliyoongozwa na Enos Olik jijini Nairobi Kenya.
Kwenye video hiyo anaonekana msichana mrembo sana ambaye wawili hao wote anawachanganya.
Ina kisa kizuri ambacho mwisho wa siku Kiba ndiye anaondoka na mzigo na kumuacha Bella akijichekea tu kwa butwaa. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo hapo chini.
9 years ago
Bongo501 Nov
Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
![12301240_431794427022691_698500110_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301240_431794427022691_698500110_n-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
9 years ago
Bongo505 Oct
Umoja uliopo kati ya Weusi, Navy Kenzo, Vanessa na Jux haukupangwa — Nahreel
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xXzXfwLzSnf5et*1bgxiZSvqPBpLUvPNG38miKxcLssqKFXUzhzeP3uAPrHr8JkfcFclLIezDPhfb-rD3I4bYm/frontWIKIENDA.jpg?width=650)
HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA