Uchambuzi: Show ya Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q ilikuwa moto wa kuotea mbali, soma yaliyojiri
Wakati watanzania wakimaliza salama uchaguzi mkuu October 25 huku wakisubiria kuapishwa kwa rais mteule, Dr John Pombe Magufuli baada ya kuibuka kudedea, weekend iliyopita wapenzi wa muziki wa Dar es Salaam, walipata burudani ya kukata na shoka kutoka kwa msanii wa Nigeria, Wizkid aliyesindikizwa na Diamond, Christian Bella na Fid Q. Wizkid ambaye alitua kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo501 Nov
Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Oct
Wenger:Costa ni moto wa kuotea mbali
9 years ago
Bongo502 Nov
Video ya ‘Nagharamia’ ya Christian Bella ilikuwa iongozwe na Clarence Peters wa Nigeria
![Bella na Ali Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Bella-na-Ali-Kiba-94x94.jpg)
10 years ago
GPLPAM D MOTO WA KUOTEA MBALI UWANJA WA BURUDANI DAR LIVE USIKU HUU
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Erling Braut Haaland: Mshambuliaji kinda wa Dortmund ambaye ni moto wa kuotea mbali
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, wazidi kuwapa raha mashabiki wao kwa burudani nzuri
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini…..paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili...
11 years ago
Dewji Blog09 May
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, ona walivyopagawisha mashabiki wao Thai Village usikose leo pia
Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.
Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo ndani ya Thai village
Maua mazuriiiii ya Skylight band kutoka kushoto ni Aneth kushaba(AK 47) Digna mpera na Winfrida Richard wakiwa wanapata uphoto wenye ISO za kutoshaaa ndani ya Thai Village
Mpiga Drums wa Skylight band Idrissa akiwa na furaha ya kutosha baada ya kuona mashabiki wake...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI