Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenger:Costa ni moto wa kuotea mbali

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa Diego Costa ni mshambuliaji hatari na kwamba ni tisho kwa Arsenal.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PAM D MOTO WA KUOTEA MBALI UWANJA WA BURUDANI DAR LIVE USIKU HUU

Staa wa Wimbo wa Nimempata anayesumbua vichwa vya mastaa wa muziki wengi wa kike, Pamela Daffa ‘Pam D’ akingusha bonge la shoo Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar usiku huu. Pam D akiwarusha mashabiki wake.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Erling Braut Haaland: Mshambuliaji kinda wa Dortmund ambaye ni moto wa kuotea mbali

Si Kylian Mbappe, Cristiano Ronaldo ama Lionel Messi walioweza kufikisha rekodi yake wakiwa na umri kama wake.

 

9 years ago

Bongo5

Uchambuzi: Show ya Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q ilikuwa moto wa kuotea mbali, soma yaliyojiri

WizkidWakati watanzania wakimaliza salama uchaguzi mkuu October 25 huku wakisubiria kuapishwa kwa rais mteule, Dr John Pombe Magufuli baada ya kuibuka kudedea, weekend iliyopita wapenzi wa muziki wa Dar es Salaam, walipata burudani ya kukata na shoka kutoka kwa msanii wa Nigeria, Wizkid aliyesindikizwa na Diamond, Christian Bella na Fid Q. Wizkid ambaye alitua kwa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, wazidi kuwapa raha mashabiki wao kwa burudani nzuri

 Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.

Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini…..paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI‏

Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba. Aneth Kushaba AK 47…

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, ona walivyopagawisha mashabiki wao Thai Village usikose leo pia

Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.

Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo ndani ya Thai village

Maua mazuriiiii ya Skylight band kutoka kushoto ni Aneth kushaba(AK 47) Digna mpera na Winfrida Richard wakiwa wanapata uphoto wenye ISO za kutoshaaa ndani ya Thai Village

Mpiga Drums wa Skylight band Idrissa akiwa na furaha ya kutosha baada ya kuona mashabiki wake...

 

9 years ago

TheCitizen

Mourinho, Wenger clash over bothersome Costa

Diego Costa provided the lightning conductor as the longstanding friction between Chelsea and Arsenal crackled to the fore during his side’s ill-tempered 2-0 victory in the Premier League.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani