PAM D MOTO WA KUOTEA MBALI UWANJA WA BURUDANI DAR LIVE USIKU HUU
Staa wa Wimbo wa Nimempata anayesumbua vichwa vya mastaa wa muziki wengi wa kike, Pamela Daffa ‘Pam D’ akingusha bonge la shoo Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar usiku huu. Pam D akiwarusha mashabiki wake.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, wazidi kuwapa raha mashabiki wao kwa burudani nzuri
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini…..paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI
11 years ago
GPLWEUSI WAKITOA BURUDANI DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
BBCSwahili05 Oct
Wenger:Costa ni moto wa kuotea mbali
10 years ago
GPL28 Dec
11 years ago
GPL11 years ago
GPL5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Erling Braut Haaland: Mshambuliaji kinda wa Dortmund ambaye ni moto wa kuotea mbali