Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBALI NA KUKOSA TUZO, DIAMOND GUMZO MAREKANI

Diamond Platnumz akisalimiana na kupiga stori na rapper Cornell Iral Haynes 'Nelly'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' amezidi kupasua anga la kimataifa kwa kuhudhuria Tuzo za BET 2014, Los Angeles, Califonia nchini Marekani usiku wa kuamkia leo na kuwa gumzo nchini humo. Kwenye tuzo hizo, Diamond alikuwa akiwania Tuzo ya Msanii Bora wa Kimataifa kutoka Afrika 'Best International Act: Africa' ambayo ilichukuliwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Oscars, Brits na Baftas: Je tuzo kuu hujumuisha watu wa tabaka mbali mbali?

Watu kadhaa wa hadhi ya juu wamezusha suala la ukosefu wa uwakilishi sawa katika tuzo za kimataifa kama Baftas, Brits na zile za Oscars.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTWAA TUZO 3 SAUZ, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani. Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi. ...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani

Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani. Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer’. “Alhamdulilah… ndugu […]

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014 (African Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26 Dallas, Marekani. Diamond ameshinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki. Mtanzania mwingine aliyeing’arisha Tanzania katika tuzo hizo ni Lady Jaydee, ambaye nae ameshinda tuzo moja ya mwanamuziki […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma

Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]

 

11 years ago

Bongo5

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani. Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine. Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani