Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ

Diamond akiwa na tuzo. MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND APATA SHAVU ‘SAUZ’LA KUGAWA TUZO ZA CHANNEL O, NA KUSHIRIKI KWENYE KAMPENI YA EBOLA

Wiki iliyopita staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz aliachia ngoma yake mpya ‘’Nitampata Wapi’’ ‘audio’ na ‘video’, na mapokeo yake kwa mashabiki kuwa makubwa sana kwani mpaka leo kwenye mtandao wa ‘You Tube’ video hiyo imetazamwa zaidi ya mara 558,276.

Safari hii Diamond amepta shavu nchini South Afrika, asubuhi ya leo aliingia ndani ya jumba la Big Brother na kuzungumza na washiriki wa shindano hilo. Pia kuna ngoma atarekodi huko na pia licha ya kutajwa kwenye tuzo za Channel O Music Video...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ATWAA TUZO TATU ZA CHANNEL O MUSIC AWARDS

Mpenzi wa sasa wa Diamond,Zari akiwa amebeba tuzo.Mama Diamond,Diamond na Zari wakipita kwenye red carpet.Madam Rita na Salam Jabir wakimsapoti Diamond.Diamond akiwa na mameneja wake Babu Tale na Mkubwa Fela.

Most Gifted R&B video Crazy but Amazing-Donald
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video
Busiswa-Ngoku
Most Gifted...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTWAA TUZO 3 SAUZ, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani. Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi. ...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'. Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Diamond ajizolea tuzo tatu za Channel O

Mwanamuziki mwenye sifa kedekede nchini Tanzania, Naseeb Abdul, au 'Diamond Platnumz', anaendelea kujizolea sifa kimataifa baada ya kushinda tuzo 3 za Channel O African Music Awards.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND APELEKA TUZO ZA CHANNEL O KWA JK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na staa  wa Bongo  Fleva, Nasibu Abdul  ' Diamond Platnumz ' baada ya kumtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.…

 

9 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO UGANDA

Kushoto ni tuzo aliyochukua Diamond Platnumz. MKALI wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na Uganda Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond amewashukuru mashabiki wake waliompigia kura na kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na kuwaomba waendelee kumpigia kura katika vipengele vingine ambavyo anawania tuzo mbalimbali. Diamond Platnumz....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base

NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND KAMA KAWA, ATWAA TUZO AFRIMMA

Diamond wakati akielekea kwenye ukumbi linapofanyika zoezi la utoaji tuzo za Afrimma. STAA wa B ongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' mpaka sasa ametwaa tuzo moja ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zinazoendelea jijini Texas nchini Marekani. Staa huyo anawania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani