DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'. Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki. Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
9 years ago
Bongo504 Dec
Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2

Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...
10 years ago
GPLDIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ
11 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base
NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...
10 years ago
GPL
DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO UGANDA
11 years ago
GPLDIAMOND KAMA KAWA, ATWAA TUZO AFRIMMA
10 years ago
CloudsFM01 Dec
DIAMOND ATWAA TUZO TATU ZA CHANNEL O MUSIC AWARDS
Mpenzi wa sasa wa Diamond,Zari akiwa amebeba tuzo.
Mama Diamond,Diamond na Zari wakipita kwenye red carpet.
Madam Rita na Salam Jabir wakimsapoti Diamond.
Diamond akiwa na mameneja wake Babu Tale na Mkubwa Fela.
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video
Busiswa-Ngoku
Most Gifted...
11 years ago
GPLDIAMOND ATWAA TUZO YA COLLABO BORA YA MWAKA AUSTRALIA