Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATWAA TUZO YA COLLABO BORA YA MWAKA AUSTRALIA

Tuzo waliyopata Dezert Eagle na Diamond Platnumz. Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo nyingine ya Afro-Australia Music and Movie Awards (AAMMA) 2014 kutoka Australia ya Collabo Bora ya Mwaka kupitia nyimbo aliyoshirikishwa na Desert Eagle iitwayo Everyday. Kupitia akaunti…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Eden Hazard akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka nchini England. KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ndiye mchezaji bora wa mwaka nchini England. Hazard mwenye umri wa miaka 24, raia wa Ubelgiji, amefunga jumla ya mabao 18 katika mechi alizoichezea timu yake msimu huu kwenye michuano mbalimbali na kuisaidia Chelsea kutwaa Kombe la Capital One huku ikishika usukani katika msimamo wa Ligi Kuu ya England inayoelekea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vaan atwaa tuzo ya kocha bora- holland

Louis van Gaal ameteuliwa kuwa kocha bora wa mwaka baada ya kufika nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia nchi Brazil.

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'. Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base

NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ

Diamond akiwa na tuzo. MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!

 

9 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO UGANDA

Kushoto ni tuzo aliyochukua Diamond Platnumz. MKALI wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na Uganda Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond amewashukuru mashabiki wake waliompigia kura na kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na kuwaomba waendelee kumpigia kura katika vipengele vingine ambavyo anawania tuzo mbalimbali. Diamond Platnumz....

 

10 years ago

GPL

YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA MARA 4 MFULULIZO

Yaya Toure. KIUNGO wa Manchester City, Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya CAF ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa mara ya nne mfululizo. Toure, 31, alitajwa kuwania tuzo hiyo baada ya kutoa mchango mkubwa kwa Manchester City kushinda Ligi Kuu ya England na kunyakua Kombe la Ligi. Pia aliisaidia Ivory Coast kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika 2015.
Toure alipambana na mshambuliaji kutoka Gabon...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND KAMA KAWA, ATWAA TUZO AFRIMMA

Diamond wakati akielekea kwenye ukumbi linapofanyika zoezi la utoaji tuzo za Afrimma. STAA wa B ongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' mpaka sasa ametwaa tuzo moja ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zinazoendelea jijini Texas nchini Marekani. Staa huyo anawania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya… ...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA MTV EMA NCHINI ITALIA

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na tuzo yake kutoka MTV EMA. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ jana ametwaa tuzo ya MTV EMA katika kipengele cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’ akimgalagaza Miss World 2000, Priyanka Chopra. Diamond alikuwa akichuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra katika tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani