YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA MARA 4 MFULULIZO
![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tSrSfWaiSURvBEg4PnuDUhB0-f1dvcJK1pGG*6ZrBUz0Hb4p2a3wcXaeyT-BXkISHnGsZpL-q-7QmVGdAZ*NtYY/yayatoure.jpg?width=650)
Yaya Toure. KIUNGO wa Manchester City, Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya CAF ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa mara ya nne mfululizo. Toure, 31, alitajwa kuwania tuzo hiyo baada ya kutoa mchango mkubwa kwa Manchester City kushinda Ligi Kuu ya England na kunyakua Kombe la Ligi. Pia aliisaidia Ivory Coast kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika 2015. Toure alipambana na mshambuliaji kutoka Gabon...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Yaya Toure atajwa tena kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
![151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit-300x194.jpg)
Yaya Toure, ametajwa tena miongoni mwa wachezaji watatu bora kuwania taji la mwana soka bora mwaka huu na shirikisho la soka barani Afrika (CAF).
Tuzo hii huwajumuisha wachezaji wa Afrika wanaocheza soka ng’ambo.
Andre ‘Dede’ Ayew kutoka Ghana
Nyota huyo wa Manchester City kwa mara nyengine atakuwa akipigania taji hilo dhidi ya mshambulizi wa Black Stars ya Ghana na Swansea Andre ‘Dede’ Ayew na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borussia Dortmund.
Pierre Emerick Aubameyang kutoka...
10 years ago
Vijimambo09 Jan
YAYA TOURE NDIYO MBABE WA SOKA AFRIKA KWA MARA YA NNE
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/08/150108235754_yaya_toure_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhfuug-gQ1pyqQcoQ**6nyacOrVenjUMX7pkyAgDBHtjdf9CoH0kUktkvsRnca5vFif2-YOZVYiUMyHknDlVT7sk/HAZARD.jpg?width=650)
EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Yaya Toure angekuwa mchezaji karate
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
Orodha ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika (wanaocheza Afrika)
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata.
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutangaza majina ya wachezaji kumi watakaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika, hatimaye wametangaza majina ya wachezaji kumi (10) watakaowania tuzo ya mchezaji bora anayecheza Afrika.
Katika orodha hiyo kwa mara ya kwanza Tanzania tumefanikiwa kuingiza mchezaji mmoja, Mbwana Ally Samata anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe...
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Tuzo ya mchezaji bora Afrika.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Tuzo la BBC la mchezaji bora Afrika
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014