EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Eden Hazard akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka nchini England. KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ndiye mchezaji bora wa mwaka nchini England. Hazard mwenye umri wa miaka 24, raia wa Ubelgiji, amefunga jumla ya mabao 18 katika mechi alizoichezea timu yake msimu huu kwenye michuano mbalimbali na kuisaidia Chelsea kutwaa Kombe la Capital One huku ikishika usukani katika msimamo wa Ligi Kuu ya England inayoelekea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Hazard mchezaji bora wa mwaka England
10 years ago
GPL
YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA MARA 4 MFULULIZO
11 years ago
GPLDIAMOND ATWAA TUZO YA COLLABO BORA YA MWAKA AUSTRALIA
9 years ago
Bongo506 Jan
Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza

Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.
Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.
Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.
Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...
10 years ago
GPL
BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA
10 years ago
GPL
MOURINHO, HAZARD WATWAA TUZO ENGLAND
5 years ago
Managing Madrid21 Mar
Eden Hazard Recovery Update
10 years ago
Mtanzania19 Oct
Jose Mourinhoamkomalia Eden Hazard
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho, amemwambia winga wake,Eden Hazard, ataendelea kuanzia benchi mpaka pale atakapofanya majukumu ya ukabaji kama vile Willian na Pedro.
Mchezaji huyo bora wa kulipwa England (PFA) msimu uliopita, juzi alianzia benchi wakati timu hiyo ilipoichapa Aston Villa mabao 2-0, ukiwa ni ushindi wao wa tatu msimu huu.
Mourinho baada ya mchezo huo amesema Hazard anatakiwa kufanya kazi ya ziada kushinda mtihani wa kurudisha nafasi yake.
“Nimemuweka...