Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOURINHO, HAZARD WATWAA TUZO ENGLAND

Jose Mourinho. KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa msimu huu wa 2014/2015 huku mchezaji wake Eden Hazard akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu. Eden Hazard. Hazard amechukua tuzo hiyo baada ya kuisaidia timu yake kutwaa taji la Ligi Kuu ya England huku akiifungia mabao 14. Hazard alikuwa akiwania tuzo hiyo pamoja na wachezaji wengine saba ambao ni: John Terry, Cesc Fabregas,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Eden Hazard akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka nchini England. KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ndiye mchezaji bora wa mwaka nchini England. Hazard mwenye umri wa miaka 24, raia wa Ubelgiji, amefunga jumla ya mabao 18 katika mechi alizoichezea timu yake msimu huu kwenye michuano mbalimbali na kuisaidia Chelsea kutwaa Kombe la Capital One huku ikishika usukani katika msimamo wa Ligi Kuu ya England inayoelekea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hazard akana mvutano na Mourinho

Kiungo wa Chelsea na Ubelgiji Eden Hazard, amekana madai kuwa uhusiano wake na meneja Jose Mourinho umekumbwa na msukosuko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho na Hazard ndio bora EPL

Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hazard mchezaji bora wa mwaka England

Baada ya kusubiri kwa misimu miwili hatimae Eden Hazard ameibuka mchezaji bora wa mwaka wa England na kutwaa tuzo ya PFA.

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi Pwani watwaa tuzo ya usalama barabarani

CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Pwani (CRPC), kimepewa tuzo na Kamati ya Usalama Barabarani kwa kutoa mchango wake wa kupunguza ajali kwenye mkoa huo.

 

10 years ago

Bongo5

Pellegrini na Andre Ayew watwaa tuzo ya mwezi ligi kuu ya Uingereza

Ligi Kuu ya Uingereza imemtangaza kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini kocha bora wa mwezi Ligi Kuu baada ya timu yake Manchester City kuanza vizuri msimu mwezi Agosti ambapo wameshinda mechi zote nne mfululizo. Kocha wa Man City Manuel Pellegrini Tuzo hiyo hutolewa pia kwa mchezaji bora wa mwezi na imeenda kwa Mghana Andre Ayew, […]

 

9 years ago

Bongo5

Jamie Vardy na kocha wake Claudio Ranieri watwaa tuzo ya EPL

2F46191400000578-3351138-image-a-25_1449908826461

Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy pamoaja na Manager wa Leicester City Claudio Ranieri wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.

2F46191400000578-3351138-image-a-25_1449908826461

Vardy baada ya kufunga magoli matatu katika mechi za mwezi Novemba ikiwemo kuvunja rekodi ya magoli wakati kikosi chake kilipotoka sare ya 1-1 na Manchester United.

Vardy-1

Goli lake katika dakika ya 24 dhidi ya Mashetani Wekundu lilimfanya avunje rekodi...

 

10 years ago

Mwananchi

Rodgers, Mourinho w yatiwa majaribuni upya England

Baada ya kucheza kamari ya kuchezesha kikosi dhaifu dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers yupo kikaangoni tena leo dhidi ya Chelsea saa 9:45 jioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani