Waandishi Pwani watwaa tuzo ya usalama barabarani
CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Pwani (CRPC), kimepewa tuzo na Kamati ya Usalama Barabarani kwa kutoa mchango wake wa kupunguza ajali kwenye mkoa huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
10 years ago
GPL
MOURINHO, HAZARD WATWAA TUZO ENGLAND
10 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

10 years ago
Bongo511 Sep
Pellegrini na Andre Ayew watwaa tuzo ya mwezi ligi kuu ya Uingereza
9 years ago
Bongo512 Dec
Jamie Vardy na kocha wake Claudio Ranieri watwaa tuzo ya EPL

Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy pamoaja na Manager wa Leicester City Claudio Ranieri wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.
Vardy baada ya kufunga magoli matatu katika mechi za mwezi Novemba ikiwemo kuvunja rekodi ya magoli wakati kikosi chake kilipotoka sare ya 1-1 na Manchester United.
Goli lake katika dakika ya 24 dhidi ya Mashetani Wekundu lilimfanya avunje rekodi...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora
.jpg)
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...
10 years ago
Habarileo18 Feb
RC ahimiza elimu ya usalama barabarani
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe (pichani) amezishauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), zishirikiane kukitumia kipindi cha ubadilishaji wa namba za pikipiki kutoa elimu ya usalama barabarani.
10 years ago
Vijimambo12 Feb
HAPA KUNA USALAMA BARABARANI KWELI?

11 years ago
Dewji Blog20 Oct
FACEBOOK kutumika kufunza usalama barabarani
Naibu Kamishna wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (wa pili kushoto) akifurahi jambo na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Kushoto ni Mratibu wa Mradi wa kuboresha Demokrasia na Amani (DEP) kutoka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Bi. Beatrice Stephano, Afisa Mfawidhi Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kanda ya ziwa Mwanza, Bw....