RC ahimiza elimu ya usalama barabarani
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe (pichani) amezishauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), zishirikiane kukitumia kipindi cha ubadilishaji wa namba za pikipiki kutoa elimu ya usalama barabarani.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania