Dk Bilal ahimiza usalama mahali pa kazi
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewaagiza waajiri nchini kuweka mifumo bora mahali pa kazi, ili kuhakikisha inalinda usalama na afya kwa wafanyakazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Baadhi ya makosa wafanyayo viongozi mahali pa kazi — 1
10 years ago
Habarileo18 Feb
RC ahimiza elimu ya usalama barabarani
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe (pichani) amezishauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), zishirikiane kukitumia kipindi cha ubadilishaji wa namba za pikipiki kutoa elimu ya usalama barabarani.
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Mama Bilal ahimiza uchangiaji
JAMII imetakiwa kujitolea kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusaidia watu wanaokumbwa na changamoto za kimaisha ili kupunguza umaskini nchini. Rai hiyo ilitolewa jana na mke wa Makamu wa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Dk. Bilal ahimiza amani, upendo
SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...
10 years ago
StarTV10 Sep
Dk. Bilal ahimiza vijana wabunifu kujiajiri
Makamu wa Rais Dokta Mohamed Gharib Bilal amewataka vijana kutumia kazi za ubunifu kama sehemu ya kujiongezea ajira na kuchangia zaidi kwenye pato la taifa kwa kutumia nguvu walizonazo.
Amesema, kwa wakati huu ambapo sekta ya ajira inakabiliwa na changamoto nyingi, hususan nafasi chache kwenye ajira rasmi, vijana hawana budi kuzingatia elimu ya ubunifu ili kukidhi upungufu uliopo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa huduma ya kurudisha taarifa...
11 years ago
Habarileo25 Jul
Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.
11 years ago
Habarileo02 Nov
Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.
11 years ago
Habarileo22 Sep
Dk Bilal ahimiza wanawake vijijini kutumia huduma za afya
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka akinamama Zanzibar kujitokeza kwa wingi kuzitumia huduma za afya zilizopo vijijini kwa ajili ya kupunguza vifo vinavyotokana uzazi.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Bilal ahimiza utayari mkataba mpya mabadiliko tabia nchi
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi za Afrika kuwa tayari kwa makubaliano mapya yatakayowezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.