Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal ahimiza amani, upendo

SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Watanzania tudumishe amani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania wote kudumisha amani, mshikamano na upendo ili kudumisha matumaini ya maendeleo kwa vizazi vijavyo.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki

Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.

Ni takribani wiki...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS,DKT GHARIB BILAL AHIMIZA MATUMIZI BORA YA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA WANAFUNZI


Na Maryam Kidiko/Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilali amesema kuwa matumizi bora ya teknolojia ya habari yatawawezesha wanafunzi kupata elimu bora kwa urahisi.
Hayo ameyasema leo katika skuli ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa uzinduzi wa darasa la kompyuta ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Alisema kuwa matumizi bora ya kompyuta yatawafanya wanafunzi...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA

Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mwanzoni mwa Mkutano wa Mwezi mmoja wa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Usimamizi wa Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa, (C-34). Katika baadhi ya mambo aliyosititiza ni pamoja na kuangaliwa upya kwa posho ya kila siku wanayolipwa walinzi wa amani ambayo ni dola 1.28, posho ambayo imedumu kwa miaka 20 bila ya kufanyiwa mabadiliko. Mkutano huo unafanyika ...

 

9 years ago

Mwananchi

Amani ya Burundi ni muhimu kwa Watanzania

Wiki hii Tanzania imeanza mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi ulioibuka baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Julai 21 na mgombea wa chama cha CNDD-FDD, Pierre Nkurunziza kutetea kiti chake cha urais.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YACHUKUA UWENYEKITI WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KWA MWEZI MEI 2014

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika akiongoza mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika uliofanyika tarehe 2 Mei 2014 mjini Addis Ababa, Makao Makuu ya Umoja huo. Tanzania itakuwa mwenyekiti wa chombo hicho muhimu kinachoshughulikia Amani na Usalama barani Afrika kwa kipindi cha Mwezi Mei 2014. Katika kipindi cha Uwenyekiti wake, Tanzania pamoja na mambo mengine itaongoza Baraza hilo katika kujadili na kutafuta...

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani