Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amani ya Burundi ni muhimu kwa Watanzania

Wiki hii Tanzania imeanza mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi ulioibuka baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Julai 21 na mgombea wa chama cha CNDD-FDD, Pierre Nkurunziza kutetea kiti chake cha urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nakala za Katiba siyo muhimu’ kwa Watanzania

Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona amesema mchakato wa Katiba hautakiwi kusubiri wananchi wasambaziwe nakala ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa Watanzania hawapendi kusoma na badala yake wanapenda “taarifa fulani fulani” tu.

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini Burundi wafanyika kwa amani

 Wananchi wa Burundi leo wamepiga kura kumchagua Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huo umefanyika katika mazingira ya amani ingawaje kwa upande wa jiji la Bujumbura wananchi walianza kujitokeza zaidi mchana Wananchi wakipiga kura Bujumbura  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega. Mawanamama akipiga kura yake  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega.Bango la wagombea nafasi ya Urais wa Burundi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wasira asifu amani na utulivu kwa Watanzania

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema Watanzania wamebarikiwa amani, umoja na utulivu ndiyo maana kila jambo wanalolifanya linafanikiwa bila matatizo. Wassira alisema miongoni mwa...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO

Na Mwandishi Maalum, New York.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...

 

10 years ago

BBCSwahili

Amani ya Gaza ni muhimu

Netanyahu hatapumzika mpaka .hapo amani ya ukanda wa Gaza itakapopatikana.

 

9 years ago

Dewji Blog

Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!

Tanzania-Flag-Wallpapers

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi  katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Oktoba 25, siku muhimu ya mabadiliko ya Watanzania

Oktoba 25 mwaka huu ni siku muhimu ya historia ya Tanzania, siku ambayo Watanzania milioni 22,751,292 wanatarajiwa kujitokeza kupiga kura kumchangua rais wa awamu ya tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani