Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amani ya Gaza ni muhimu

Netanyahu hatapumzika mpaka .hapo amani ya ukanda wa Gaza itakapopatikana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mkakati wa Amani wa kuinusuru Gaza

Mahasimu Israel na Hamas sasa wakubali kuzingatia mapendekeo yaliyotolewa na Misri.ya kusitisha mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Juhudi za kutafuta amani Gaza zachacha

Israeli imeendelea kuiponda Gaza licha ya kikao cha mawaziri wa baraza la Usalama na wito wa kusitishwa mapigano

 

9 years ago

Mwananchi

Amani ya Burundi ni muhimu kwa Watanzania

Wiki hii Tanzania imeanza mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi ulioibuka baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Julai 21 na mgombea wa chama cha CNDD-FDD, Pierre Nkurunziza kutetea kiti chake cha urais.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha  hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.

“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
 Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..

Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.

Mzee wa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

11 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani