Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.
“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..
Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.
Mzee wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Usalama ni muhimu zaidi kwa Fastjet!
Ndege ya Fastjet FJA FN141 inayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mwanza, ikiwa imebeba abiria 142 iliruka kutoka airport ya kimataifa ya Julius Nyerere mida ya takribani saa 12:49 asubuhi siku ya Alhamisi ya tarehe 4 Disemba 2014.Muda mfupi baada ya ndege kuruka chombo hicho kilikumbana na ndege aliyekuwa akiruka. Kama sehemu ya maangalizi rubani wa ndege hiyo aliamua kugeuza safari na kurudi katika uwanja wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege ilitua salama bila kashikashi zozote...
10 years ago
Mwananchi13 May
MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Malezi muhimu
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Ujerumani:Wahamiaji ni Muhimu
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Makumbusho ya viongozi ni muhimu
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
11 years ago
Mwananchi22 May
Urasimishaji wa biashara ni muhimu (2)
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Michezo ni muhimu kiuchumi na kisiasa
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Ajenda muhimu kuelekea Oktoba 25-2
KATIKA safu hii wiki iliyopita nilihitimisha kwa kuahidi kwamba ningeendelea kwa kuangalia dhana
Mwandishi Wetu