Usalama ni muhimu zaidi kwa Fastjet!
Ndege ya Fastjet FJA FN141 inayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mwanza, ikiwa imebeba abiria 142 iliruka kutoka airport ya kimataifa ya Julius Nyerere mida ya takribani saa 12:49 asubuhi siku ya Alhamisi ya tarehe 4 Disemba 2014.Muda mfupi baada ya ndege kuruka chombo hicho kilikumbana na ndege aliyekuwa akiruka. Kama sehemu ya maangalizi rubani wa ndege hiyo aliamua kugeuza safari na kurudi katika uwanja wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege ilitua salama bila kashikashi zozote...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Fastjet yabeba abiria zaidi ya 30,000 kwa mwezi
KAMPUNI ya ndege ya Fastjet imesema Desemba mwaka jana ilibeba abiria 37,458, ikiwa ni idadi kubwa kwa mwezi mmoja, hivyo kwa mwaka huu imeazimia kuendelea kutoa huduma bora. Akizungumza na...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.
“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..
Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.
Mzee wa...
10 years ago
VijimamboMSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eNQrF378agQ/Vgk27sXo2pI/AAAAAAAH7js/o3CLxyrh64k/s72-c/001.jpg)
USALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-eNQrF378agQ/Vgk27sXo2pI/AAAAAAAH7js/o3CLxyrh64k/s640/001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mzZ9nDvgcIE/Vgk27kQlAGI/AAAAAAAH7jw/adLi_bEVRm0/s640/003.jpg)
Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum unaohusu kuhamasisha Usalama barabarani na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
![](http://2.bp.blogspot.com/-hFn7N-TIpDs/Vgk28TVFmRI/AAAAAAAH7kA/K1oCdmm_ITs/s640/004.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xEE-ZAIXPxA/Vgk28r2xQhI/AAAAAAAH7kI/8cr4I_o8X7g/s640/006.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lg-_ysSDn3U/Vgk28-zgI6I/AAAAAAAH7kE/xj6QskhRgtU/s640/007.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/0011.jpg)
USALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE
10 years ago
Mwananchi13 May
MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s72-c/001.POLISI.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s1600/001.POLISI.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Waziri Mwakyembe awapongeza FastJet kwa huduma nzuri kwa wateja
Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani.
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe...
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake