Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makumbusho ya viongozi ni muhimu

Nilipoandika kuhusu umuhimu wa kuwa na makumbusho ya Karume na Nyerere kuna watu walioona kuwa ni ubadhirifu wa mali za umma na pengine haina sababu kabisa. Niseme kuwa kila kitu katika jamii, hata picha yako katika ubatizo, mahafali na kadhalika ni sehemu ya makumbusho ya taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAENDELEA KUFANA KATIKA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UDAMADUNI JIJINI DAR

Kundi kubwa la wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherekea Maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Duniani yanayo adhimishwa Kitaifa katika Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Kundi kubwa la Wanafunzi walio udhuria maadhimisho yaSiku ya Makumbusho Duniani katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaama wakimsikiliza Mwendesha kipindi cha watoto, Bw Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) hayupo Pichani. Pichani ni Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) na safu nzima ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha  hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.

“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
 Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..

Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.

Mzee wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Makumbusho Zanzibar yaboreshwe

>Nilipokuwa ziarani Zanzibar nilipata fursa ya kutembelea majumba ya makumbusho.

 

10 years ago

GPL

STENDI YA MAKUMBUSHO YAANZA KUHARIBIKA

Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo  kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.… ...

 

9 years ago

StarTV

TCRA yazindua makumbusho ya taifa ya mawasiliano

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Posta duniani kwa kuzindua makumbusho ya Taifa ya mawasiliano jijini Dar es salaam

 Akifanya uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo John Mgondo amesema mabadilko ya Teknolojia yamerahisisha mawasiliano

 Kuanzishwa kwa makumbusho ya taifa ya mawasiliano kumezingatia sheria ya uhifadhi kwa kukusanya taarifa kutoka...

 

10 years ago

StarTV

Iringa Boma kuwa jumba la makumbusho.

Na Mawazo Malembeka,

Iringa.

 

 

Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa kibali kwa Chuo Kikuu cha Iringa kulikarabati na kulihuisha jengo lililojengwa na wakoloni wa kijerumani miaka 114 iliyopita maarufu kama Iringa Boma na kuwa jumba la makumbusho.

 

Jengo hilo ambalo litafanyiwa ukarabati na mradi wa kuendeleza na kukuza utamaduni wa asili kanda ya Nyanda za Juu Kusini unaoitwa Fahari yetu unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Iringa kwa ufadhili wa Jumuiya ya nchi za Ulaya kwa zaidi ya miaka 50...

 

9 years ago

Michuzi

UTURUKI KUIPIGA TAFU MAKUMBUSHO YA TAIFA

Na Sixmund J. Begashe.
Nchi ya Uturuki ipo tayari kuisaidia Makumbusho ya Taifa katika nyanja za Utafiti, Uhifadhi, Maonesho ya vioneshwa vya kimakumbusho na hata katika Maonesho mbali mbali ya muziki na sanaa ili kuboresha na kuendeleza shughuli mbali mbali zinazo fanywa na Makumbusho ya Taifa hapa nchini.
Ahadi hii imetolewa na Balozi wa Uturuki hapa Nchini Mh Yasemin ERALP alipo kutana na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa kwa lengo la kubadilishana mawazo ili kuona ni kwa namna gani...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MAKUMBUSHO

Konda wa daladala ya Makumbusho Gerezani akihakikisha abilia wote wamepata vitakasa mikono kabla ya kuingia ndani ya daladala hiyo  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam leo wakiwa katika Kituo cha daladala Makumbusho kuelekea maeneo mbalimbali huku wakiwa wamevaa Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.Wananchi wa jiji Dar es salaam leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani