Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ONESHO LA SAUTU YETU MAKUMBUSHO YA TAIFA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UTURUKI KUIPIGA TAFU MAKUMBUSHO YA TAIFA

Na Sixmund J. Begashe.
Nchi ya Uturuki ipo tayari kuisaidia Makumbusho ya Taifa katika nyanja za Utafiti, Uhifadhi, Maonesho ya vioneshwa vya kimakumbusho na hata katika Maonesho mbali mbali ya muziki na sanaa ili kuboresha na kuendeleza shughuli mbali mbali zinazo fanywa na Makumbusho ya Taifa hapa nchini.
Ahadi hii imetolewa na Balozi wa Uturuki hapa Nchini Mh Yasemin ERALP alipo kutana na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa kwa lengo la kubadilishana mawazo ili kuona ni kwa namna gani...

 

9 years ago

StarTV

TCRA yazindua makumbusho ya taifa ya mawasiliano

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Posta duniani kwa kuzindua makumbusho ya Taifa ya mawasiliano jijini Dar es salaam

 Akifanya uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo John Mgondo amesema mabadilko ya Teknolojia yamerahisisha mawasiliano

 Kuanzishwa kwa makumbusho ya taifa ya mawasiliano kumezingatia sheria ya uhifadhi kwa kukusanya taarifa kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

MAONI YA MDAU KWA UONGOZI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Hivi punde nimetoka Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni iliyopo mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, hapo kulikuwa na matukio makubwa mawili Moja la sherehe za siku ya wanawake na Nyingine kwenye viwanja ikiwahusisha wanafunzi wa shule mbali mbali.
Muda mfupi kabla sijaondoka kuna wanafunzi wa wawili wa Jangwani Sekondari walidondoka na kupoteza fahamu mmoja akiwa ameng’ata ulimi babisa, hali hii ya sintofahamu iliwashtua wengi walio karibu na tukio hili, wanafunzi wenyewe...

 

5 years ago

Michuzi

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUIMARISHA MFUMO WA MAWASILIANO WA KIDIJITALI


Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga akishauri namna ya kuboroa mfumo wa mawasiliano wa Taasisi hiyo  kidijitali.
Na Sixmund J.Begashe Makumbusho ya Taifa nchini imeweka mikakati ya kuimarisha mifumo ya kimawasiliano kidijiitali ili kuendana na kasi ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Akizungumza katika kikao maalumu cha kupitia hatua za Maboresho ya Mifumo hiyo kilicho udhuriwa na wajumbe wa Menejimenti ya uongozi wa Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Makumbusho ya Taifa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt Hamis Kigwangala akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga alipotembelea Makumbusho ya Taifa leoWaziri wa Maliasili na Utalii akitembea katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa kulia kwake ni Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Riitta Swan, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

KIONGOZI MKUU WA CHINA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA JIJINI DAR

Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING katikati akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING watatu kushoto akiwa kwenye chumba mahususi akipewa maelezo na Dr Amandus Kweka ya fuvu la Zinjanthropus lililopo Makumbusho na...

 

9 years ago

Michuzi

Makumbusho ya Taifa yazindua maonyesho ya picha za matukio yanayohusu Albino nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Profesa Audax Mabulla (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Under The Same Sun Bw. Peter Ash, Mwakilishi wa Benki ya Dunia Dkt. Yutaka Yoshino wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maonyesho ya Picha za matukio ya watu wa jamii ya Albino zilizo pigwa katika kambi ya kuwahudumia Albino ya Kabanga. Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Profesa Audax Mabulla (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Under The Same Sun Bw. Peter Ash, Mwakilishi wa Benki ya Dunia...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ,ZARI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI,RWANDA

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz na mpenzi wake Zari wametembelea Makumbusho ya taifa nchini Rwanda na kushuhudia mabaki ya miili ya mamia ya watu waliofariki kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Mauaji ya Kimbari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani