MAKUMBUSHO YA TAIFA KUIMARISHA MFUMO WA MAWASILIANO WA KIDIJITALI

Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga akishauri namna ya kuboroa mfumo wa mawasiliano wa Taasisi hiyo kidijitali.
Na Sixmund J.Begashe Makumbusho ya Taifa nchini imeweka mikakati ya kuimarisha mifumo ya kimawasiliano kidijiitali ili kuendana na kasi ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Akizungumza katika kikao maalumu cha kupitia hatua za Maboresho ya Mifumo hiyo kilicho udhuriwa na wajumbe wa Menejimenti ya uongozi wa Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV10 Oct
TCRA yazindua makumbusho ya taifa ya mawasiliano
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Posta duniani kwa kuzindua makumbusho ya Taifa ya mawasiliano jijini Dar es salaam
Akifanya uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo John Mgondo amesema mabadilko ya Teknolojia yamerahisisha mawasiliano
Kuanzishwa kwa makumbusho ya taifa ya mawasiliano kumezingatia sheria ya uhifadhi kwa kukusanya taarifa kutoka...
5 years ago
Michuzi
Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja

Bahati nzuri teknolojia ya mawasiliano kama mitandao ya kijamii, video calls na nyingine sawa na hizo zimetusaidia kuendelea kuwasiliana huku tukipunguza mikutano na mikusanyiko.
Katika wakati huu, kampuni za mawasilino ya simu nchini Tanzania zimefanya kila jitihada kusaidia wateja wake...
10 years ago
MichuziTCRA YAKAMILISHA MFUMO WA KIDIJITALI NCHI NZIMA
MAMLAKA ya mawasiliano Tanzania (TCRA) wamekanilisha mfumo wa kidijitali kwa nchi nzima.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano wa mamlaka hiyo, Innocent Mungy, amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC ) na yale ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Amesema mfumo wa analojia ulizimwa rasmi Desemba 31,2012,kwa mujibu wa makubaliano ya nchi mwanachama wa jumuiya ya Afrika...
5 years ago
Michuzi
Benki ya NMB, Mastercard na EYWA washirikiana kuleta mfumo wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri Tanzania

Suluhisho hili linalenga kutatua changamoto za huduma za usafirishaji nchini kwa kupunguza matumizi ya mfumo wa malipo ya fedha taslimu na kuwa katika njia ya...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Serikali na mikakati ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Simba yajizatiti mfumo wa mawasiliano
KLABU ya soka ya Simba ni moja ya klabu kongwe nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa imefanikiwa kujipatia mashabiki wengi. Moja ya matatizo ambayo yamekuwa yakizikumba klabu nyingi za soka hapa nchini ni pamoja na upatikanaji wa taarifa mbalimbali na muhimu za klabu hiyo.
Hivi karibuni, Kampuni ya Tigo Tanzania, kwa kushirikiana na Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, wamezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama 'Simba SMS'. Lengo la huduma hiyo ni nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa...
10 years ago
Dewji Blog25 Mar
Hospitali za Apollo na jitihada za kuimarisha sayansi ya mfumo wa fahamu Tanzania
Umakini kwa mara nyingine tena umewekwa katika uhitaji wa wataalamu zaidi na kuboresha miundombinu ndani ya sekta ya utabibu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu. Hii inakuja baada ya ziara ya hivi karibuni na timu ya madaktari kutoka hospitali ya Apollo nchini India. Madaktari ambao walikuwa nchini kwa lengo la kujenga uhusiano unaoendelea kati ya hospitali hiyo na Tanzania, walipata fursa ya kutembelea taasisi mbalimbali ikiwa ni pamoja na maboresho ya ujuzi wa wauguzi ambao walipata mafunzo...
9 years ago
MichuziUTURUKI KUIPIGA TAFU MAKUMBUSHO YA TAIFA
Nchi ya Uturuki ipo tayari kuisaidia Makumbusho ya Taifa katika nyanja za Utafiti, Uhifadhi, Maonesho ya vioneshwa vya kimakumbusho na hata katika Maonesho mbali mbali ya muziki na sanaa ili kuboresha na kuendeleza shughuli mbali mbali zinazo fanywa na Makumbusho ya Taifa hapa nchini.
Ahadi hii imetolewa na Balozi wa Uturuki hapa Nchini Mh Yasemin ERALP alipo kutana na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa kwa lengo la kubadilishana mawazo ili kuona ni kwa namna gani...
10 years ago
Michuzi