Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yajizatiti mfumo wa mawasiliano

KLABU ya soka ya Simba ni moja ya klabu kongwe nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa imefanikiwa kujipatia mashabiki wengi. Moja ya matatizo ambayo yamekuwa yakizikumba klabu nyingi za soka hapa nchini ni pamoja na upatikanaji wa taarifa mbalimbali na muhimu za klabu hiyo.

Hivi karibuni, Kampuni ya Tigo Tanzania, kwa kushirikiana na Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, wamezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama 'Simba SMS'. Lengo la huduma hiyo ni nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUIMARISHA MFUMO WA MAWASILIANO WA KIDIJITALI


Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga akishauri namna ya kuboroa mfumo wa mawasiliano wa Taasisi hiyo  kidijitali.
Na Sixmund J.Begashe Makumbusho ya Taifa nchini imeweka mikakati ya kuimarisha mifumo ya kimawasiliano kidijiitali ili kuendana na kasi ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Akizungumza katika kikao maalumu cha kupitia hatua za Maboresho ya Mifumo hiyo kilicho udhuriwa na wajumbe wa Menejimenti ya uongozi wa Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

UHURU ONE YAZINDUA MFUMO WA KWANZA WA MAWASILIANO YA 4G DVNO LEO JIJINI DAR

 Meneja Mkuu wa  kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez, akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kwenye mkutano kuhusina na kampuni ya Tigo kuanza kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akiwa na Mwenyekiti wa uhuru One Rajab Katunda wakati wa uzinduzi kuanzisha kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.
KAMPUNI ya  Tigo na kampuni ya UhuruOne wameanzisha...

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini

Mkuu wa Ushirikiano wa Usalama kwa Ubalozi wa Marekani Tanzania, Lt.Kevin Balisky akisoma risala mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima wakati wa halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la maji, masaada huo umetolewa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa AFRICO,leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Pereira Silima, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri anogewa mfumo wa 3-5-2 Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema ataendelea kutumia mfumo alioutumia katika mechi dhidi ya Yanga, Jumamosi ili kuimaliza Prisons kwao.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo uliwanyima Simba kupata pointi tatu’

Mwanza Kocha msaidizi wa Stand United, Athumani Bilali ametoboa siri kuwa mfumo wa 4-3-2-1 walioutumia ndio uliofanya Simba washindwe kuondoka na pointi tatu kwenye mechi yao ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) Dk. Ally Yahaya Simba

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua Dk. Ally Yahaya Simba (pichani) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) kufuatia mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya 2003 kifungu cha 9 na kifungu cha 13. (TCRA Act, 2003). 
Dk. Simba aliteuliwa rasmi kushika wadhifa huo mnamo tarehe 6 Jula1 2015 kwa kipindi cha miaka mitano. Kabla ya uteuzi huo, Dk....

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine yajizatiti kijeshi

Ukraine imeagiza kuimarisha vikosi vyake katika kukabiliana na Urusi katika jimbo la Ukraine la Crimea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani