Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) Dk. Ally Yahaya Simba

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua Dk. Ally Yahaya Simba (pichani) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) kufuatia mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya 2003 kifungu cha 9 na kifungu cha 13. (TCRA Act, 2003). 
Dk. Simba aliteuliwa rasmi kushika wadhifa huo mnamo tarehe 6 Jula1 2015 kwa kipindi cha miaka mitano. Kabla ya uteuzi huo, Dk....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo


 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimueleza Dkt. Ally Yahaya Simba (Kushoto) umuhimu wa kuendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano,alipomtembelea leo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Ally Yahaya Simba: Mkurugenzi mpya wa TCRA

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua Dk. Ally Yahaya Simba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania, (TCRA).

Hiyo ilifuatia mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya 2003 kifungu cha 9 na kifungu cha 13. (TCRA Act, 2003).

Dk. Simba aliteuliwa rasmi kushika wadhifa huo Julai 6 mwaka huu kwa kipindi cha miaka mitano.

Kabla ya...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA -TCRA KANDA YA ZIWA YAADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MTUMIAJI DUNIANI


Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa imeadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani (World Consumer Rights Day) leo Machi 9,2020 kwa kutoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Shinyanga juu ya haki za watumiaji wa Huduma za Mawasiliano.

Akizungumza, Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alisema TCRA Kanda ya Ziwa imeadhimisha siku hii leo Machi 9,2020 ambapo Kidunia itafanyika Machi 15,2020 kwa kauli mbiu ya...

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YAPATA MKURUGENZI MKUU MPYA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyonayo chini ya Sheria Na. 12 ya mwaka 2003 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Kifungu cha 13  (1) amemteua Dkt. Ally Yahaya Simba  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 6 Julai 2015.  
Kabla ya  uteuzi huo, Dkt. Ally Yahaya Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano,...

 

9 years ago

IPPmedia

TCRA Director General, Ally Simba


IPPmedia
TCRA Director General, Ally Simba
IPPmedia
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has directed all mobile phone companies operating in the country to separate products that are currently sold collectively to widen choice for customers. The directive was issued yesterday in Dar es ...
Report to police, TCRA urges cybercrime victimsDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 2

 

10 years ago

Dewji Blog

TCRA has a New Director General, Dr. Ally Y. Simba

10863822_10204495680938546_2460125760553143053_o

Mkurugenzi Mkuu  mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), Dk. Ally Yahaya Simba. 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.doc 

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu Dkt. Mohamed Mhita (pichani) aliyezaliwa tarehe 17 Februari 1946 na kufariki siku ya  Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan  jijini Dar es Salaam.

Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani