Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja

UGONJWA wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea.  Moja ya badiliko kubwa ni lile la kupunguza mikusanyiko, kubaribiana na wengine kuathiri mipango ya safari. 
Bahati nzuri teknolojia ya mawasiliano kama mitandao ya kijamii, video calls na nyingine sawa na hizo zimetusaidia kuendelea kuwasiliana huku tukipunguza mikutano na mikusanyiko. 
Katika wakati huu, kampuni za mawasilino ya simu nchini Tanzania zimefanya kila jitihada kusaidia wateja wake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUIMARISHA MFUMO WA MAWASILIANO WA KIDIJITALI


Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga akishauri namna ya kuboroa mfumo wa mawasiliano wa Taasisi hiyo  kidijitali.
Na Sixmund J.Begashe Makumbusho ya Taifa nchini imeweka mikakati ya kuimarisha mifumo ya kimawasiliano kidijiitali ili kuendana na kasi ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Akizungumza katika kikao maalumu cha kupitia hatua za Maboresho ya Mifumo hiyo kilicho udhuriwa na wajumbe wa Menejimenti ya uongozi wa Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Saa za kidijitali za LG

Kampuni ya kutengeza bidhaa za kielektroniki kutoka Korea LG, imeanza kutengeza saa za kidigitali za kisasa.

 

9 years ago

Michuzi

Mapokezi ya Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora wa pili kulia akipokea nyaraka wakati wa makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Dkt Yamungu Kayandabila wa kwanza kutoka kulia.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Mary Sassabo kulia wakati akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Faustine Kamuzora (...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

11 years ago

GPL

MABETO: NAVAA NUSU UTUPU KIDIJITALI

NA MUSA MATEJA ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, haoni hatari kuvaa nguo za kihasara kwani anahisi utandawazi ndiyo unamsukuma kufanya hivyo. ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akizungumzia tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu kisha kuzitupia mtandaoni, mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki mashindano ya Miss...

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YAKAMILISHA MFUMO WA KIDIJITALI NCHI NZIMA

Na Avila Kakingo Globu ya jamii
MAMLAKA ya mawasiliano Tanzania (TCRA) wamekanilisha mfumo wa kidijitali kwa nchi nzima.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano wa mamlaka hiyo, Innocent Mungy, amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC ) na yale ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Amesema mfumo wa analojia ulizimwa rasmi Desemba 31,2012,kwa mujibu wa makubaliano ya nchi mwanachama wa jumuiya ya Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani