DIAMOND PLATINUMZ,ZARI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI,RWANDA
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz na mpenzi wake Zari wametembelea Makumbusho ya taifa nchini Rwanda na kushuhudia mabaki ya miili ya mamia ya watu waliofariki kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Mauaji ya Kimbari.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Rwanda yakumbuka mauaji ya Kimbari
Watu nchini Rwanda wanaadhimisha miaka 20 tangu kutokea mauaji ya kimbari mwaka 1994 kwa kuwakumbuka maelfu waliouawa
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
Makovu ya mauaji ya Kimbari Rwanda
Imekuwa ni miaka 20 sasa tangu mauaji ya kimbari yasababishe vifo vya watu zaidi ya laki nane nchini Rwanda.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa
Mahakama ya kimataifa iliyoundwa kuchunguza mauaji ya kimbari nchini Rwanda ya mwaka wa 1994 {ICTR} imefunga shughuli zake mjini Arusha Tanzania.
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
BAADA YA MAUAJI YA KIMBARI: Rwanda yajikita katika maendeleo
MAUAJI ya halaiki yanayotokana na visasi, ukabila, ubaguzi wa rangi, dini na ugaidi ni matendo yanayopaswa kupigwa vita ulimwenguni. Mauaji kama hayo yamekuwa yakitokea duniani tangu zama za kale. Mauaji...
11 years ago
Michuzi08 Apr
KINANA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA
![](https://4.bp.blogspot.com/-kttZNKQMcgY/U0ME82wOJTI/AAAAAAAAlRU/XyruBUl3u3A/s1600/2.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-fX1ui2K3_YU/U0ME9cazw3I/AAAAAAAAlRc/iLO6liPvhk4/s1600/3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-86e_RbuveZc/U0ME-FC7ZLI/AAAAAAAAlRg/gxRRTj-QW2I/s1600/4.jpg)
5 years ago
BBCSwahili16 May
Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa
Félicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya Corona: Ukimya ulivyotanda kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda
Tangu mwaka 1994 shughuli za kumbukumbu za mauaji ya kimbari zimekua zikihudhuriwa na umma wa Wnyarwanda, huku baadhi wakifanya matembezi ya kuwakumbuka wanyarwanyarwanda zaidi wa 8,0000 waliouawa wakati huo lakini mwaka huu shughuli hizo zimefanyika tofauti
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania