Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa

Félicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KABUGA, MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA AKANUSHA TUHUMA DHIDI YAKE

Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yakeFelicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.Kabuga mwenye umri wa miaka 84 jana Jumatano kupitia mkalimani aliimbia Mahakama ya Ufaransa kuwa, "yote haya ni urongo, sijaua Watutsi wowote, nilikuwa nafanya kazi nao."Mshukiwa huyo anaandamwa na makosa saba yakiwemo ya uchochezi wa mauaji ya kimbari, jinai dhidi ya binadamu na...

 

5 years ago

CCM Blog

MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA


Mshukiwa mkubwa wa mauaji ya kimbari akamatwaHaki miliki ya pichaUS STATE DEPARTMENTFélicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.Bwana Kabuga ameshikiliwa na polisi mjini Asnières-Sur-Seine, eneo ambalo alikuwa anaishi kwa utambulisho wa uongo.Mahakama ya kimataifa ya mauji ya kimbari yaliyotokea Rwanda yamemshtaki bwana Kabuga mwenye umri wa miaka 84-kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.Anadaiwa kuwa mfadhili mkuu wa wahutu ambao waliuwa...

 

5 years ago

BBC

Rwanda genocide: How Félicien Kabuga evaded capture for 26 years

Félicien Kabuga outwitted Rwandan genocide prosecutors by using 28 aliases and powerful connections.

 

5 years ago

BBC

Félicien Kabuga: Rwanda genocide survivors happy with arrest

A widows' group says "everyone has been waiting" for his apprehension, 26 years after the slaughter.

 

5 years ago

BBC

Félicien Kabuga: Rwanda genocide suspect arrested in France

Businessman Félicien Kabuga is alleged to have financed the groups that carried out the Rwandan genocide.

 

5 years ago

BBC

Félicien Kabuga: Captured fugitive denies financing Rwanda's genocide

Businessman Félicien Kabuga, who evaded capture for 26 years, says he was trying to help victims.

 

5 years ago

BBCSwahili

Masalia ya mwili wa Augustin Bizimana, mshukiwa mkuu wa mauaji ya Rwanda yapatikana

Tangazo la kifo chake limekuja baada ya kukamatwa kwa mshukiwa mwingine mkuu Félicien Kabuga mwishoni mwa wiki huko mjini Paris, ambaye anatuhumiwa kufadhili mkuu wa mauaji ya kimbari.

 

5 years ago

Michuzi

BAADA YA KUJIFICHA KWA MIAKA 26 NA KUKAMATWA KABUGA AKANA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIMBARI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAUAJI ya Kimbari ya mwaka 1994 ambayo yanaelezwa kuwa ni mpango uliotekelezwa na baadhi ya watu na kuuwa maelfu ya watu wa kabila la Watutsi nchini Rwanda, mmoja ya watekelezaji wa tukio hilo  Felician Kabuga aliyekamatwa baada ya miaka 26 tangu kutokea kwa tukio hilo ameieleza mahakama inayomshikilia  nchini Ufaransa kuwa wampe dhamana wakati akisubiri ni wapi kesi yake itasikilizwa aidha Ufaransa alipokamatwa au nyumbani anakodaiwa kutekeleza mauaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa akamatwa kuhusu mauaji ya Paris

Polisi nchini Ufaransa wamemkamata mwanamume eneo la Paris kwenye uchunguzi wao kuhusu mashambulio ya Novemba 13.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani