BAADA YA KUJIFICHA KWA MIAKA 26 NA KUKAMATWA KABUGA AKANA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIMBARI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAUAJI ya Kimbari ya mwaka 1994 ambayo yanaelezwa kuwa ni mpango uliotekelezwa na baadhi ya watu na kuuwa maelfu ya watu wa kabila la Watutsi nchini Rwanda, mmoja ya watekelezaji wa tukio hilo Felician Kabuga aliyekamatwa baada ya miaka 26 tangu kutokea kwa tukio hilo ameieleza mahakama inayomshikilia nchini Ufaransa kuwa wampe dhamana wakati akisubiri ni wapi kesi yake itasikilizwa aidha Ufaransa alipokamatwa au nyumbani anakodaiwa kutekeleza mauaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 May
Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa
5 years ago
CCM Blog28 May
KABUGA, MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA AKANUSHA TUHUMA DHIDI YAKE

5 years ago
BBCSwahili24 May
Mauaji ya Rwanda: Jinsi Felicien Kabuga alivyojificha kwa miaka 26
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
10 years ago
Michuzi09 Apr
Maadhimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari



10 years ago
Vijimambo09 Apr
Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari



11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
BAADA YA MAUAJI YA KIMBARI: Rwanda yajikita katika maendeleo
MAUAJI ya halaiki yanayotokana na visasi, ukabila, ubaguzi wa rangi, dini na ugaidi ni matendo yanayopaswa kupigwa vita ulimwenguni. Mauaji kama hayo yamekuwa yakitokea duniani tangu zama za kale. Mauaji...
10 years ago
GPL
MAADHIMISHO YA MIAKA 21 YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI