KABUGA, MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA AKANUSHA TUHUMA DHIDI YAKE
Felicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.Kabuga mwenye umri wa miaka 84 jana Jumatano kupitia mkalimani aliimbia Mahakama ya Ufaransa kuwa, "yote haya ni urongo, sijaua Watutsi wowote, nilikuwa nafanya kazi nao."Mshukiwa huyo anaandamwa na makosa saba yakiwemo ya uchochezi wa mauaji ya kimbari, jinai dhidi ya binadamu na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 May
Félicien Kabuga: Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kimbari Rwanda akamatwa
5 years ago
CCM Blog16 May
MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA
![Mshukiwa mkubwa wa mauaji ya kimbari akamatwa](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/7AC7/production/_112313413_7e1fcf65-0a6e-4a6e-92c9-068ed63d56cc.jpg)
5 years ago
BBCSwahili22 May
Masalia ya mwili wa Augustin Bizimana, mshukiwa mkuu wa mauaji ya Rwanda yapatikana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I-WjVGGEhr0/Xs-mmORmzMI/AAAAAAALr1o/BJwLH-e1T5ghuP9xhe988krrdhqjKU1MQCLcBGAsYHQ/s72-c/00220197_f1ba5b470768356c9679b1155a8d2716_arc614x376_w614_us1.jpg)
BAADA YA KUJIFICHA KWA MIAKA 26 NA KUKAMATWA KABUGA AKANA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIMBARI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAUAJI ya Kimbari ya mwaka 1994 ambayo yanaelezwa kuwa ni mpango uliotekelezwa na baadhi ya watu na kuuwa maelfu ya watu wa kabila la Watutsi nchini Rwanda, mmoja ya watekelezaji wa tukio hilo Felician Kabuga aliyekamatwa baada ya miaka 26 tangu kutokea kwa tukio hilo ameieleza mahakama inayomshikilia nchini Ufaransa kuwa wampe dhamana wakati akisubiri ni wapi kesi yake itasikilizwa aidha Ufaransa alipokamatwa au nyumbani anakodaiwa kutekeleza mauaji...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Mauaji ya Rwanda: Jinsi Felicien Kabuga alivyojificha kwa miaka 26
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Rwanda yakumbuka mauaji ya Kimbari
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
Makovu ya mauaji ya Kimbari Rwanda
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa