STENDI YA MAKUMBUSHO YAANZA KUHARIBIKA
Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBARABARA ZA KUINGIA STENDI YA MAKUMBUSHO ZAWA KERO KWA WATUMIAJI
10 years ago
Habarileo23 Oct
Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika
MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO
NA DENIS MLOWE,IRINGA
STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.
Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAENDELEA KUFANA KATIKA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UDAMADUNI JIJINI DAR
10 years ago
GPLTATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2
10 years ago
GPLTATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)
10 years ago
Mwananchi09 Sep
NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika
9 years ago
GPLSHOGA, USIWE MUNG’UNYA KUHARIBIKA UKUBWANI
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni
TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...