Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)

Leo tumeamua kuzungumzia jambo hili ambalo huwakumba watu wengi sana katika familia zao, wengi wamekuwa wakitokewa na jambo hili katika mimba zao za kwanza na mimba zao zinazoendelea katika familia zao na kushindwa kupata watoto. Kuna wengine wanapata watoto au mtoto mmoja na baadaye wanashindwa kupata mtoto kwa sababu ya mimba zao kuwa zinaharibika mara kwa mara. Kwa kawaida kitabibu inaaminika kwamba asilimia 50 ya mimba zote...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA MIMBA MARA KWA MARA!

Tatizo la kuharibika mimba mara kwa mara kitaalamu huitwa ‘Recurrent pregnancy loss’. Mwanamke hujitahidi kutafuta ujauzito lakini inakuwa ngumu ujauzito kukua hadi kufikia kujifungua.
Hali hii huleta athari kubwa kwa mwanamke pamoja na kuathirika kiafya kutokana na mimba kuharibika mara kwa mara lakini pia huathirika kisaikolojia kwa kutopata watoto. Ni mojawapo ya tatizo linalochangia ugumba katika jamii....

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2

WIKI iliyopita tuliishia kwa kusema kuwa, kipindi cha ujauzito pia hugawanywa katika vipindi vitatu vilivyo sawa miezi mitatumitatu ambavyo kitaalamu huitwa ‘Trimesters’. Kigezo kinachotumika kugawa vipindi hivi ni matukio yanayofanyika katika muda husika.
Kipindi cha uumbaji
Kipindi hiki huanza tangu mimba kutungwa mpaka miezi mitatu ya awali. Katika kipindi hiki ndipo viungo vya mtoto vinapoumbwa na...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA TATIZO LA KUTOKUPATA MIMBA-2

Leo nitaelezea matibabu na ushauri kwa wanandoa wanaokabiliwa na tatizo la mama kutopata mimba. Miongoni mwa mambo wanayopaswa kuelezwa  wanandoa hao ni kuwapa uzoefu kuhusiana na afya ya uzazi na jinsi ujauzito unavyoweza kupatikana na hatimaye kupata mtoto.
 Pia kuona jinsi ya  kuunganisha familia na kujenga familia bora kama itashindikana kupata mtoto bila mume kumtenga mke au mke kumtenga mume. Kutumia muda mwingi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kukabili tatizo la kutopata mimba

Kwa upande wa mwanamke zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha awe na tatizo la kutopata ujauzito.

 

11 years ago

Dewji Blog

TAMWA yatoa takwimu tatizo la mimba za utotoni

MDG : Malawi : child mariage and child bride : Young mother carrying her baby

Na Mwandishi wetu

Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa inayoikabili nchi kwa sasa.

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) umeonyesha kuwa katika kipindi cha mwaka 2012/2013 jumla ya matukio 228 ya mimba  na matukio  42 ya  ndoa za utotoni  yaliripotiwa

Hata hivyo, mimba na ndoa za utotoni  zimetajwa kuwa ni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunataka viongozi watakaotatua tatizo la mimba za utotoni

NI ndani ya mwaka mmoja wasichana wadogo wenye umri wa chini ya miaka 18 ambao wangekuwa wasomi wetu wanapata ujauzito na wanaacha masomo. Je ni vijiji vingapi ambavyo tatizo kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi

>Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ni tatizo ambalo linaweza kumpata mwanamke yeyote na linapaswa kufahamika mapema ili hatua muafaka zichukuliwe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunataka viongozi watakaotatua tatizo la mimba za utotoni II

Naye Jestina Dawa, ambaye naye alipata ujauzito na sasa analea mtoto anasema kuwa kutokana na mzigo mkubwa wa majukumu ya kulea familia ambayo wameanza wakiwa wadogo baada ya kulazimika kuolewa,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni

TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani