TATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2
![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DRs4wjUoTuT5n7FnVr8*qVWAgVAjCyryd4o31OANWZ4OM0FEcO5Ow3OM3NrYssOR3S509koSdNre-GWifEqzPFj/miscarriage.jpg)
WIKI iliyopita tuliishia kwa kusema kuwa, kipindi cha ujauzito pia hugawanywa katika vipindi vitatu vilivyo sawa miezi mitatumitatu ambavyo kitaalamu huitwa ‘Trimesters’. Kigezo kinachotumika kugawa vipindi hivi ni matukio yanayofanyika katika muda husika. Kipindi cha uumbaji Kipindi hiki huanza tangu mimba kutungwa mpaka miezi mitatu ya awali. Katika kipindi hiki ndipo viungo vya mtoto vinapoumbwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8U4w51ntDsHqVLtVm5pUTkr-wFXEm*Yeo3GRjWWYTPyg-d*Rm2wIgVo1Dilzr9QBzRBjVSLlS9B4AIYl3xqXrwQ/miscarriage.jpg?width=650)
TATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXWSAclFOhhLOBjG0a-D56E6W0pyE0BBz-*rV5N77Wv1dPCapS6qR-SUUBPKepb-d0C-BvHc8PU68aU5AofyASsX/UterineFibroids.jpg?width=650)
TATIZO LA KUHARIBIKA MIMBA MARA KWA MARA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55KocnyRE0pOLSKKE5TAS1j4AxD1W-SMMBq16L1-Qml71XAJ0i27pc0mhpjGUhtTWJIU4AhuWZK1yU9BjnCkMnhE/infertility.jpg?width=650)
TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO - 2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOT42nf0HoxaHJEyRrzKexg7C6Snt0oijOFxAfmmx1EMgifJ11DFj8NwBXOgfGK2sylWIvn9rNy20qtbg3RG1Buo/MIMBA.jpg?width=650)
TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT7t146cYrgbIhmcRFTvAVKa9YmqUunzNxVWZhdSIefx58ajZ*avV8w*REhePxl5vJohz-qWWqhVp7jP*xoH3D8e/pregnant.jpg?width=650)
DALILI ZA TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito-3
Wiki hii tunaendelea na sehemu ya mwisho ya makala hii ili wiki ijayo nianze nyingine.
MATATIZO KATIKA SHINGO YA KIZAZI
Tatizo hili linaweza kuwa la kuzaliwa nalo, likasababishwa na matumizi ya baadhi ya madawa kwa mama mjamzito ukajikuta unazaa mtoto anapata kasoro katika viungo vyake mojawapo ni viungo vya uzazi.
Tatizo katika viungo vya uzazi pia linaweza kusababishwa na maambukizi, upasuaji au magonjwa sugu katika uke au shingo ya uzazi.
Mwanamke mwenye tatizo hili hulalamika maumivu...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
AFYA YA UZAZI: Tatizo la kutopata ujauzito
11 years ago
KwanzaJamii01 Aug
Mke na mume wanahusika na tatizo la kutopata ujauzito
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni
TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...