Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni

TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

serikali yajipanga kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni nchini

Serikali kwa kupitia mkataba wa Motrial wa mwaka 1987 imejipanga thabiti katika kuhakikisha kuwa tatizo la uharibifu wa tabaka la ozini linapata suluhu Tanzania.
Mkurugenzi wa Manzingira Ofisi ya Makam wa Rais, Dk. Julius Ningu aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatua ya serikali katika kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni.
Dk. Ningu alisema kuwa kabla ya mwaka 1985 wanasayansi waligundua kumomonyoka kwa tabaka la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?

Tukio kama hili ni la kawaida katika eneo la kusini zaidi la dunia la Antarctic wakati wa msimu wa joto, lakini katika eneo la baridi la kaskazini si la kawaida.

 

11 years ago

Michuzi

elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya Mafunzo ya wakufunzi kutoka Vyuo vya Ufundi Nchini katika Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete (Katikati) na Mkurugenzi wa mazingira Dkt. Julius Ningu (Kulia) wakimsilikiza Bw. Julio Esterban Mshauri Mwelekezi kutoka UNIDO akitoa ufananuzi kwa wakufunzi kutoka Vyuo vya ufundi nchini.  Sehemu ya washiriki wa warsha...

 

9 years ago

Habarileo

Kemikali zinazomong’onyoa tabaka la ozoni zapunguzwa

UZALISHAJI wa kemikali zinazomong’onyoa tabaka la hewa ya ozoni umepunguzwa kwa asilimia 98 duniani, imeelezwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Shimo kubwa kuwahi kutokea katika tabaka la ozoni la Arctic lajifunga

Shimo hilo la ajabu limejifunga mwezi mmoja baada ya kugunduliwa

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino

DSC_0233

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye  anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi. 

Na Mwandishi wetu

MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na...

 

10 years ago

GPL

UN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi. Na...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI WA PAKISTAN AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

Na WAMJW – Dar es Salaam
 Serikali imepongezwa kwa jitihada inazozifanya katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) hapa nchini.

Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na mwakilishi wa Ubalozi wa Pakistani hapa nchini Muhammad Saleem wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Saleem alisema tangu ugonjwa huo ulipoingia hapa nchini mwezi uliopita kasi ya maambukizi ni ndogo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani