serikali yajipanga kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-QEOTbQJ5XdM/VA2wQPlymCI/AAAAAAAGh4w/9Cq9yglWN3E/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Serikali kwa kupitia mkataba wa Motrial wa mwaka 1987 imejipanga thabiti katika kuhakikisha kuwa tatizo la uharibifu wa tabaka la ozini linapata suluhu Tanzania.
Mkurugenzi wa Manzingira Ofisi ya Makam wa Rais, Dk. Julius Ningu aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatua ya serikali katika kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni.
Dk. Ningu alisema kuwa kabla ya mwaka 1985 wanasayansi waligundua kumomonyoka kwa tabaka la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni
TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...
9 years ago
Habarileo16 Sep
Kemikali zinazomong’onyoa tabaka la ozoni zapunguzwa
UZALISHAJI wa kemikali zinazomong’onyoa tabaka la hewa ya ozoni umepunguzwa kwa asilimia 98 duniani, imeelezwa.
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Shimo kubwa kuwahi kutokea katika tabaka la ozoni la Arctic lajifunga
11 years ago
Michuzi11 Mar
elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.
![](https://4.bp.blogspot.com/-WD21MQSvl8A/Ux8LVpmP0-I/AAAAAAACrOg/jTWoybng280/s1600/DSC0100.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-m-lcn_oUUeI/Ux8KQqRmUFI/AAAAAAACrOI/uUcYZ9e6Aks/s1600/DSC0076.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-XQ3d6P71Jyg/Ux8Kdxl1hSI/AAAAAAACrOQ/PrsAI3EeFD8/s1600/DSC0119.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dd_MNJ3i5ko/VBdQg9AOnXI/AAAAAAAGj2A/yEhOymKzyPA/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni
![](http://1.bp.blogspot.com/-dd_MNJ3i5ko/VBdQg9AOnXI/AAAAAAAGj2A/yEhOymKzyPA/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Serikali imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
MSEA yajipanga kupambana na uharibifu wa mazingira Tabora
UHARIBIFU wa mazingira katika Mkoa wa Tabora imeelezwa ni mkubwa kutokana na kukithiri kwa shughuli mbalimbali za kijamii zisizozingatia kanuni za utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na Meneja Miradi wa...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Serikali yajipanga kukabiliana na Wizi wa Umeme Nchini!
Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema leo jijini Dar es Salaam kuhusu mpango wa Serikali wa kuunda kikosi maalum cha kukabiliana na tatizo la wizi wa umeme na kuimarisha ukaguzi ili kubaini wateja wasio waaminifu na kuwachukulia hatua za kisheria. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa. (Picha na Fatma Salum- Maelezo)
Na. Fatma Salum – MAELEZO
Serikali inatarajia kuunda kikosi maalum...
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Serikali yajipanga kuondoa ajali za barabarani nchini
Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ikiwemo kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuendelea kununua vifaa vya kisasa vitakavyosaidia kupunguza tatizo la ajali nchini,wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani)...