Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo lafanyika Pemba

MRATIBU wa kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, Khalfan Amour Mohamed lililofayika mjini Chake chake, na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni Afisa mipango wa ZLSC Siti Salim Habibu na kushoto ni Afisa Mdhamini wizara ya Katiba na Sheria Omar Khamis Juma akifuatiwa na Mratibu wa ZLSC, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, ambalo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mikataba ya kimataifa yaisaidia Tanzania hifadhi ya jamii

DSC_0382

Naibu  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na  Mwandishi Wetu, Arusha

UTIAJI saini wa mikataba ya kimataifa, inayohusu hifadhi ya jamii...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO-TANZANIA

Bw. Noel Kaganda,  Afisa  Mwandamizi, Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  akizungumza  kwa  niaba ya Tanzania wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  lilipokutana  mwishoni mwa wiki  kujadili kuhusu ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje.-------------------------------------------------------------------------Mwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI

Tanzania imesema hatua zote ambazo zimechukuliwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya mabadiliko katika sheria za vyama vya siasa,sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali na ile ya vyombo vya habari ina lengo la kuimarisha uwajibikaji na uwazi pamoja na kuhakiskisha misingi na tunu za Taifa zinaheshimiwa na kuendelezwa.
Akihutubia katika Kikao cha 43 cha Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva nchini Uswisi Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

CCM Blog

TANZANIA: JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO



NA MWANDISHI MAALUM, NEW YORKMwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio linalotathmini utayari wa nchi wanachama kukabiliana na magonjwa ya milipuko na dharura nyingine za kiafya.
Katika mjadala huo, wazungumzaji wengi, walisisitiza   umuhimu wa kuimarishwa kwa mifumo ya afya, hususan katika nchi za kipato cha chini na cha kati zisizo na uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kemikali zinazomong’onyoa tabaka la ozoni zapunguzwa

UZALISHAJI wa kemikali zinazomong’onyoa tabaka la hewa ya ozoni umepunguzwa kwa asilimia 98 duniani, imeelezwa.

 

10 years ago

Michuzi

serikali yajipanga kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni nchini

Serikali kwa kupitia mkataba wa Motrial wa mwaka 1987 imejipanga thabiti katika kuhakikisha kuwa tatizo la uharibifu wa tabaka la ozini linapata suluhu Tanzania.
Mkurugenzi wa Manzingira Ofisi ya Makam wa Rais, Dk. Julius Ningu aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatua ya serikali katika kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni.
Dk. Ningu alisema kuwa kabla ya mwaka 1985 wanasayansi waligundua kumomonyoka kwa tabaka la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni

TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani