Mikataba ya kimataifa yaisaidia Tanzania hifadhi ya jamii
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi Wetu, Arusha
UTIAJI saini wa mikataba ya kimataifa, inayohusu hifadhi ya jamii...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni
.jpg)
Serikali imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...
10 years ago
Michuzi16 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)

11 years ago
Habarileo18 Apr
‘Tanzania inatekeleza mikataba ya kimataifa’
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa kwa kutekeleza mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda iliyoridhiwa, ambayo imesaidia kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia na ukandamizaji dhidi ya wanawake.
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII TANZANIA WAJENGEWA UWEZO WA UTENDAJI KAZI.
10 years ago
Habarileo12 Mar
Taarifa za utekelezaji mikataba ya kimataifa kuwasilishwa Barazani
WIZARA ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Wanawake Vijana na Watoto ya Zanzibar imesema kuanzia sasa taarifa zinazohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake zitawasilishwa pia katika Baraza la Wawakilishi.
10 years ago
VijimamboSTANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM
10 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Oct
MCC Yaisaidia Tena Serikali ya Tanzania §472.8 Kwa Development Project.
Assalamu alaikhum Warahmatullah ndugu Watanzania wote kutoka Katika Bara la Tanganyika na Visiwa Vya Zanzibar. Ama mimi Sina budu ili Kuwaletea habari hii ambayo nimeandika hapo juu ili muweze kuifafanua na ikiwezekana kuipigia Simu Ubalozi wa […]
The post MCC Yaisaidia Tena Serikali ya Tanzania §472.8 Kwa Development Project. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii