NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
NHIF yazungumzia tuzo tatu za ubunifu barani Afrika zilizotolewa na ISSA kwa mfuko wa taifa wa bima ya afya
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...
10 years ago
MichuziNHIF Yanyakuwa Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika
Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria.
Tuzo ambazo NHIF ilikabidhiwa ni katika eneo la utoaji wa huduma za...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA

10 years ago
Michuzi17 Dec
NHIF YANYAKA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA

10 years ago
Habarileo08 Dec
NHIF yatwaa tuzo tatu za ubunifu Afrika
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, umenyakua tuzo tatu za ubunifu katika sekta ya hifadhi ya Jamii Barani Afrika zinazosimamiwa na Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA).
11 years ago
GPL
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI
11 years ago
Michuzi.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU(03) WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mikataba ya kimataifa yaisaidia Tanzania hifadhi ya jamii
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi Wetu, Arusha
UTIAJI saini wa mikataba ya kimataifa, inayohusu hifadhi ya jamii...
9 years ago
Michuzi