TUZO YA UBUNIFU AFRIKA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-JM4IkEzkMKs/VkS3ArdFDBI/AAAAAAAIFk0/RS-hcoa-lBw/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-12%2Bat%2B6.56.30%2BPM.png)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Dec
NHIF yatwaa tuzo tatu za ubunifu Afrika
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, umenyakua tuzo tatu za ubunifu katika sekta ya hifadhi ya Jamii Barani Afrika zinazosimamiwa na Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA).
10 years ago
Vijimambo17 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)
10 years ago
Michuzi17 Dec
NHIF YANYAKA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)
10 years ago
MichuziNHIF Yanyakuwa Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika
Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria.
Tuzo ambazo NHIF ilikabidhiwa ni katika eneo la utoaji wa huduma za...
10 years ago
Michuzi16 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
NHIF yazungumzia tuzo tatu za ubunifu barani Afrika zilizotolewa na ISSA kwa mfuko wa taifa wa bima ya afya
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
UN Tanzania yazindua ripoti ya Teknolojia na Ubunifu 2015, nchi za Afrika hali si nzuri
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) akiongozana na Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula (suti nyeusi) mara baada ya kuwasili wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano wa Mozambique uliopo katika Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula akitoa neno la...
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015
9 years ago
Bongo517 Nov
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora BBC Afrika 2015
![151113145647_afoty_2015_512x288_bbc](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/151113145647_afoty_2015_512x288_bbc-300x194.jpg)
Wacheji watano ambao wanagombea tuzo ya BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mshindi wa tuzo hiyo mwaka 2014 Yacine Brahimi, yupo kwenye orodha hiyo pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, André Ayew, kutoka Ghana, Sadio Mané na Yaya wote wa Ivory Coast.
Mshindi ataamuliwa na mashabiki wa soka Afrika ambao watapewa fursa kupiga kura hadi tarehe 30, Novemba.
Unaweza kupiga kura mtandaoni kwa kubofya hapa au kwa...