Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF Yanyakuwa Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umenyakua tuzo tatu za ubunifu katika sekta ya hifadhi ya Jamii Barani Afrika zinazosimamiwa na Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA).
Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria.
Tuzo ambazo NHIF ilikabidhiwa ni katika eneo la utoaji wa huduma za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)

1Bima ya AfyaaaKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YANYAKA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA

1Bima ya AfyaaaKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...

 

10 years ago

Vijimambo

NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA

1Bima ya AfyaaaKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yazungumzia tuzo tatu za ubunifu barani Afrika zilizotolewa na ISSA kwa mfuko wa taifa wa bima ya afya

1Bima ya Afyaaa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko na...

 

10 years ago

Habarileo

NHIF yatwaa tuzo tatu za ubunifu Afrika

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, umenyakua tuzo tatu za ubunifu katika sekta ya hifadhi ya Jamii Barani Afrika zinazosimamiwa na Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA).

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI

Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la GEPF Meneja Masoko na huduma kwa wateja…

 

9 years ago

Michuzi

PPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII


Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

 Rais mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa  bima ya afya,Ali Othman katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonesho ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani