UN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi.
Na Mwandishi wetu
MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0233.jpg)
UN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino
![Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Isaya-Mngulu.jpg)
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema vitendo vya mauaji ya albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo nchini.
Amesema kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.
Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Juhudi za serikali kukabili kuharibika kwa tabaka la ozoni
TABAKA la Ozoni ni mlinzi wa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Tabaka hili ni kama blanketi au mwavuli kati ya jua na uso wa dunia ambalo hutukinga...
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Uingereza yataka kukabili kitisho cha IS
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Watoto walemavu na albino moshi, walivyosaidiwa na juhudi za kibinafsi
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Kanisa Bunda kutoa vitabu kukabili mauaji
KANISA la Waadiventista Wasabato, Bunda mjini, limeamua kutoa vitabu vya neno ya Mungu bure kwa wananchi wilayani Bunda, Mara, ili wavisome na jamii ibadilike na kuacha vitendo vya mauaji ya...