Kanisa Bunda kutoa vitabu kukabili mauaji
KANISA la Waadiventista Wasabato, Bunda mjini, limeamua kutoa vitabu vya neno ya Mungu bure kwa wananchi wilayani Bunda, Mara, ili wavisome na jamii ibadilike na kuacha vitendo vya mauaji ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino
![Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Isaya-Mngulu.jpg)
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema vitendo vya mauaji ya albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo nchini.
Amesema kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.
Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
UN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake akiwa kituoni hapo bila msaada wa muuguzi.
Na Mwandishi wetu
MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0233.jpg)
UN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Dewji Blog19 Nov
Mdau Andrew Chale kutoa vitabu vya Maisha yake
Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na ‘Mwenyekiti’ Maggid Mjengwa wa Mjengwa Blog.
..Ni vya ‘Who Is Andrew Chale’, ‘Nimnukuu Nani?’ na ”Mimi ni Historia’,
Na Mwandishi Wetu
Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, Andrew Chale anayeandikia magazeti ya Tanzania Daima na Sayari yanayotolewa na kampuni ya Free Media ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia mwandishi ‘msaada’ wa blog za habari mbalimbali za hapa nchini na nje ya Tanzania ameanza mchakato rasmi wa kuandika vitabu vitatu (3)...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Andrew-Chale-kulia-akiteta-jambo-na-Mwenyekiti-Mjengwa-wa-Mjengwa-blog.jpg)
MDAU ANDREW CHALE KUTOA VITABU VYA MAISHA YAKE
11 years ago
CloudsFM25 Jun
POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Mashahidi 50 kutoa ushahidi mauaji ya bilionea Msuya
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE