Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashahidi 50 kutoa ushahidi mauaji ya bilionea Msuya

Tukio la mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa Mererani, Erasto Msuya litawekwa hadharani wiki ijayo wakati mashahidi 50 wa Jamhuri watakapoanza kutoa ushahidi wao kwa siku tano mfululizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi

Upande wa mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa madini wa Mererani, Erasto Msuya umeanza kutoa ushahidi wao jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius:Mashahidi walikataa kutoa ushahidi

Baadhi ya mashahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, walikataa kutoa ushahidi kwa hofu ya kuonekana hadharani.

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC kushurutisha mashahidi kutoa ushahidi

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC, inawataka mashahidi waliokataa kutoa ushahidi katika kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto kutoa ushahidi huo.

 

10 years ago

Vijimambo

'Mauaji ya Bilionea Msuya yalisukwa hivi'

Korti yaelezwa simu zilivyonunuliwa , Tanzanite ilitumika kama chamboErasto Msuya
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi imeelezwa namna mauaji ya ‘Bilionea wa Madini ya Tanzanite’, Erasto Msuya (43), yalivyosukwa na mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Sharif Athuman (31), ambaye ni mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Kimandolu, mkoani Arusha.

Sharif na wenzake; Shaibu Saidi maarufu kama “Mredii” (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na Mussa Mangu (30),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa mauaji ya bilionea Msuya aachiwa huru

OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini imemfutia kesi ya mauaji ya kukusudia mfanyabiashara Joseph Damas ‘Chusa’ anayetuhumiwa kumuua mfanyabiashara mwenzake wa madini ya tanzanite, Erasto Msuya (43). Hati ya kumwachia...

 

10 years ago

Vijimambo

MAUAJI YA BILIONEA MSUYA YALISUKWA HIVI...HATARI SANA

Sharif na wenzake; Shaibu Saidi maarufu kama “Mredii” (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na Mussa Mangu (30), Shangarai kwa Mrefu ( Arusha), Jalila Said (28), mkazi wa Babati, Sadiki Jabir a.k.a “Msudani” (32), wa Dar es Salaam na Lang’ata, wilayaniHai, Karim Kihundwa (33), wa Kijiji cha Lawate, Wilaya ya Siha na Alli Musa maarufu “Mjeshi”, wa Babati, mkoani Manyara, wanakabiliwa na kesi hiyo ya mauaji namba 12 ya mwaka 2014. Wakili Mkuu Mfawidhi wa Jamhuri...

 

9 years ago

Vijimambo

Mabishano makali yaibuka kesi mauaji bilionea Msuya.


Baadhi ya washtakiwa wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya, wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi jana, baada ya kusikiliza ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka. PICHA NA GODFREY MUSHIMahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi, imeipokea ripoti ya uchunguzi wa kifo cha mfanyabiashara bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), iliyosainiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk. Paul Chaote,...

 

11 years ago

Michuzi

MMOJA AACHIWA HURU KESI YA MAUAJI YA BILIONEA WA MADINI ERASTO MSUYA

Na Ripota wa Globu ya Jamii.
OFISI ya mkurugenzi wa Mashtaka Nchini imemfutia mashtaka ya mauaji,mmoja  kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite bilionea , Erasto Msuya (43).
Hati ambayo imetumika kumwachia huru Joseph Damas (Chusa) ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa madini hayo  imetolewa na kusainiwa na mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Elieza Feleshi na kisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuiwasilisha kwa Hakimu...

 

5 years ago

Michuzi

MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV .
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani