Mabishano makali yaibuka kesi mauaji bilionea Msuya.
Baadhi ya washtakiwa wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya, wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi jana, baada ya kusikiliza ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka. PICHA NA GODFREY MUSHIMahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi, imeipokea ripoti ya uchunguzi wa kifo cha mfanyabiashara bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), iliyosainiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk. Paul Chaote,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMMOJA AACHIWA HURU KESI YA MAUAJI YA BILIONEA WA MADINI ERASTO MSUYA
OFISI ya mkurugenzi wa Mashtaka Nchini imemfutia mashtaka ya mauaji,mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite bilionea , Erasto Msuya (43).
Hati ambayo imetumika kumwachia huru Joseph Damas (Chusa) ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa madini hayo imetolewa na kusainiwa na mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Elieza Feleshi na kisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuiwasilisha kwa Hakimu...
10 years ago
Vijimambo11 Feb
'Mauaji ya Bilionea Msuya yalisukwa hivi'
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi imeelezwa namna mauaji ya ‘Bilionea wa Madini ya Tanzanite’, Erasto Msuya (43), yalivyosukwa na mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Sharif Athuman (31), ambaye ni mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Kimandolu, mkoani Arusha.
Sharif na wenzake; Shaibu Saidi maarufu kama “Mredii” (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na Mussa Mangu (30),...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Mashahidi 50 kutoa ushahidi mauaji ya bilionea Msuya
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Mtuhumiwa mauaji ya bilionea Msuya aachiwa huru
OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini imemfutia kesi ya mauaji ya kukusudia mfanyabiashara Joseph Damas ‘Chusa’ anayetuhumiwa kumuua mfanyabiashara mwenzake wa madini ya tanzanite, Erasto Msuya (43). Hati ya kumwachia...
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MAUAJI YA BILIONEA MSUYA YALISUKWA HIVI...HATARI SANA
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya
NA SAFINA SARWATT, MOSHI.
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.
Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi
11 years ago
CloudsFM12 Jun
MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG
Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.
Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.
Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa...