'Mauaji ya Bilionea Msuya yalisukwa hivi'
Korti yaelezwa simu zilivyonunuliwa , Tanzanite ilitumika kama chamboErasto Msuya
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi imeelezwa namna mauaji ya ‘Bilionea wa Madini ya Tanzanite’, Erasto Msuya (43), yalivyosukwa na mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Sharif Athuman (31), ambaye ni mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Kimandolu, mkoani Arusha.
Sharif na wenzake; Shaibu Saidi maarufu kama “Mredii” (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na Mussa Mangu (30),...
Vijimambo