Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Andrew Chale kutoa vitabu vya Maisha yake

Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na 'Mwenyekiti' Mjengwa  wa Mjengwa blog

Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na ‘Mwenyekiti’  Maggid Mjengwa wa Mjengwa Blog.

..Ni vya ‘Who Is Andrew Chale’,  ‘Nimnukuu Nani?’ na ”Mimi ni Historia’,

Na Mwandishi Wetu

Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, Andrew Chale anayeandikia magazeti ya Tanzania Daima na Sayari yanayotolewa na kampuni ya Free Media ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia mwandishi ‘msaada’ wa blog za habari mbalimbali za hapa nchini na nje ya Tanzania ameanza mchakato rasmi wa kuandika vitabu  vitatu (3)...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MDAU ANDREW CHALE KUTOA VITABU VYA MAISHA YAKE‏

Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na 'Mwenyekiti' Maggid Mjengwa wa Mjengwa Blog. ..Ni vya 'Who Is Andrew Chale', 'Nimnukuu Nani?' na ''Mimi ni Historia', Na Mwandishi Wetu Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, Andrew Chale anayeandikia magazeti ya Tanzania Daima na Sayari yanayotolewa na kampuni ya Free Media ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia mwandishi 'msaada' wa blog za habari mbalimbali za hapa nchini na nje ya Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MDAU ANDREW CHALE

Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani ya miaka hii yote nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU ANDREW CHALE


 Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea  siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani  ya miaka hii yote  nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kanisa Bunda kutoa vitabu kukabili mauaji

KANISA la Waadiventista Wasabato, Bunda mjini, limeamua kutoa vitabu vya neno ya Mungu bure kwa wananchi wilayani Bunda, Mara, ili wavisome na jamii ibadilike na kuacha vitendo vya mauaji ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Henry Mdimu aanza harakati za kutoa somo kwa wauaji wa albino

Na Chalila Kibuda 
Balozi wa Imetosha,Henry Mdimu amewataka watu wajitokeze katika  harakati za kupambana na watu wenye imani  potofu za kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Mdimu amesema uchunguzi umebaini ukosefu wa elimu kwa watu wenye imani hizo ndiyo hupelekea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo silaha ya elimu ni sehemu kubwa ya harakati hapa nchini.
Hayo ameyasema leo wakati alipokutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kusema kuwa ana mpango wa kwenda kanda...

 

5 years ago

BBCSwahili

"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake

Simulizi ya mtoto mwenye ugonjwa adimu duniani ambaye siku ngingi anajipata kuwa hspitali zaidi ya nyumbani tena chumba cha wagonjw amahutui (ICU)

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MDAU APOTELEWA NA WALETI YAKE

Uncle mimi Hobidan Ackim Mwaijulu wa Kunduchi Mtongani. Nimepotelew na wallet yangu usiku huu Tarehe 15/05/2015.Kwenye daladala Nikitokea Makumbusho kwenda Kunduchi Mtongani Majira ya saa mbili usiku. Wallet ilikuwa na kadi ?(4) nne za Bank mbili za exim bank,moja ya foreign currency na nyingine ya tshilings. 
Nyingine ni ya CRDB bank (master card). kadi nyingine ambayo ni muhimu sana ni Kadi ya Nje Bank ya HSBC pamoja na Token access yake ambayo ina muonekano wake ni mfano wa calculate...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Khamis Mkotya alamba nondozz yake

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani