HAPPY BIRTHDAY MDAU ANDREW CHALE
Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani ya miaka hii yote nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DPDa0wLue9A/VEaMNfpR4YI/AAAAAAAGsgc/YKWj7W1SyLA/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU ANDREW CHALE
![](http://4.bp.blogspot.com/-DPDa0wLue9A/VEaMNfpR4YI/AAAAAAAGsgc/YKWj7W1SyLA/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Nov
Mdau Andrew Chale kutoa vitabu vya Maisha yake
Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na ‘Mwenyekiti’ Maggid Mjengwa wa Mjengwa Blog.
..Ni vya ‘Who Is Andrew Chale’, ‘Nimnukuu Nani?’ na ”Mimi ni Historia’,
Na Mwandishi Wetu
Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, Andrew Chale anayeandikia magazeti ya Tanzania Daima na Sayari yanayotolewa na kampuni ya Free Media ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia mwandishi ‘msaada’ wa blog za habari mbalimbali za hapa nchini na nje ya Tanzania ameanza mchakato rasmi wa kuandika vitabu vitatu (3)...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/Andrew-Chale-kulia-akiteta-jambo-na-Mwenyekiti-Mjengwa-wa-Mjengwa-blog.jpg)
MDAU ANDREW CHALE KUTOA VITABU VYA MAISHA YAKE
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Happy Birthday mdau Abdullah Zulu Lyana
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mdau mkubwa wa Modewji blog Wakili wa kujitegemea na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Sea View Upanga, ABDULLAH ZULU LYANA, (Pichani) anatimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa.
Modewjiblog: Inakutakia maisha marefu, afya njema, baraka tele na Mungu akuongezee hekima maradufu na akuongoze na yaliyo mema kwenye shughuli zako za kila siku.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qUqDOy0OYqg/VRCVz9R50hI/AAAAAAADdhE/aKd1e9w3nEo/s72-c/HAMISI%2BALLY%2BHAMISI%2Baka%2BMzawa%2Bwa%2BKariakoo.jpg)
HAPPY BIRTHDAY MDAU HAMISI ALLY HAMISI AKA MZAWA WA KARIAKOO
![](http://1.bp.blogspot.com/-qUqDOy0OYqg/VRCVz9R50hI/AAAAAAADdhE/aKd1e9w3nEo/s1600/HAMISI%2BALLY%2BHAMISI%2Baka%2BMzawa%2Bwa%2BKariakoo.jpg)
alizaliwa siku kama ya leo 24 March,mtaa mchikichi/kongo st.18 Kariakoo jijini Dar
akiwa mtoto wa kiume wa alekuwa mchezaji kandanda wa timu za Benfrika,Kongo United "Shetani Wekundu" marehem Bw.Ally Hamisi Ally(RIP) aka De Stefano.
Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha kandanda
wadau mnaweza...
10 years ago
Vijimambo08 May
HAPPY BIRTHDAY MO
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F05%2FDSC01228-Edit.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
And below is a small gift from us!
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F05%2FIMG_9643.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji
10 years ago
Vijimambo24 May
HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY
![](https://scontent-iad3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xta1/v/t1.0-9/11265255_967121246644897_5362907781171744315_n.jpg?oh=e790919d76791f1abea302595f234ed5&oe=5609963E)
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HAPPY BIRTHDAY
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-o3Ns3DMJ34w/VNMnHyjir-I/AAAAAAADXXs/Sp7CgMkKhiE/s72-c/IMG-20150205-WA0001.jpg)
HAPPY BIRTHDAY TO YOU
![](http://1.bp.blogspot.com/-o3Ns3DMJ34w/VNMnHyjir-I/AAAAAAADXXs/Sp7CgMkKhiE/s1600/IMG-20150205-WA0001.jpg)