Mdau Henry Mdimu aanza harakati za kutoa somo kwa wauaji wa albino
![](http://1.bp.blogspot.com/-qnj9WuR_GCY/VPhewKYDRmI/AAAAAAAHH2Q/lj0rpbxb8CQ/s72-c/DSC_0273.jpg)
Na Chalila Kibuda
Balozi wa Imetosha,Henry Mdimu amewataka watu wajitokeze katika harakati za kupambana na watu wenye imani potofu za kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Mdimu amesema uchunguzi umebaini ukosefu wa elimu kwa watu wenye imani hizo ndiyo hupelekea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo silaha ya elimu ni sehemu kubwa ya harakati hapa nchini.
Hayo ameyasema leo wakati alipokutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kusema kuwa ana mpango wa kwenda kanda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
KUTOKA MEZA YA BALOZI WA HARAKATI ZA IMETOSHA HENRY MDIMU
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA TAIFA
10 years ago
Michuzi05 Mar
Mwanahabari Henry Mdimu asema IMETOSHA! avaa njuga kupambana na mauaji ya Albino
![Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya jhabari. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0904.jpg)
![Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0912.jpg)
![Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa mapambano hayo, Henry Mdimu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0929.jpg)
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vS5nzfirdvs/VVInmQHp1yI/AAAAAAAHW4Y/Ihqa59XtwuQ/s72-c/mwanza_town.jpg)
INSPEKTA WA POLISI AANZA KUTOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vS5nzfirdvs/VVInmQHp1yI/AAAAAAAHW4Y/Ihqa59XtwuQ/s640/mwanza_town.jpg)
10 years ago
Michuzi29 Dec
10 years ago
Habarileo12 Mar
Kesi za wauaji wa albino kuharakishwa
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amesema watahakikisha kesi zote zinazohusu mauaji ya walemavu wa ngozi zinapewa kipaumbele.
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Wauaji wa albino tunawafuga wenyewe
10 years ago
Habarileo03 Mar
Kikwete: Wauaji wa albino wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.