KUTOKA MEZA YA BALOZI WA HARAKATI ZA IMETOSHA HENRY MDIMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu wakinilaumu kutokana na tukio la mtoto Baraka Cosmas (picha ya kwanza) ambaye usiku wa kuamkia leo amekatwa mikono yake. Wanasema nilikuwa nakula Bata Uwanja wa Taifa huku watu wanateketea. Hasa alikuwa akiongea mtu anaitwa @hmgeleka. Kwanza nalaani kitendo hicho cha kikatili na kuzidi kumuomba Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-HVuLP8ihO80/VPyu_ZvT1jI/AAAAAAAHIug/09OgQGJPsI0/s72-c/unnamed.jpg)
BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA TAIFA
10 years ago
Michuzi05 Mar
Mwanahabari Henry Mdimu asema IMETOSHA! avaa njuga kupambana na mauaji ya Albino
![Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya jhabari. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0904.jpg)
![Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0912.jpg)
![Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa mapambano hayo, Henry Mdimu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0929.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qnj9WuR_GCY/VPhewKYDRmI/AAAAAAAHH2Q/lj0rpbxb8CQ/s72-c/DSC_0273.jpg)
Mdau Henry Mdimu aanza harakati za kutoa somo kwa wauaji wa albino
Balozi wa Imetosha,Henry Mdimu amewataka watu wajitokeze katika harakati za kupambana na watu wenye imani potofu za kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Mdimu amesema uchunguzi umebaini ukosefu wa elimu kwa watu wenye imani hizo ndiyo hupelekea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo silaha ya elimu ni sehemu kubwa ya harakati hapa nchini.
Hayo ameyasema leo wakati alipokutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kusema kuwa ana mpango wa kwenda kanda...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-w0xmTALAmnk/VQwTu48TNoI/AAAAAAAHLoU/XaNwQPlC4E0/s72-c/DSCF6241.jpg)
HARAKATI YA IMETOSHA KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI MACHI 29,YAPEWA MCHANGO WA MIL. 10 KUTOKA TDL
Akizunguma na waandishi wa habari wakati kutangaza kutoa mchango huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,David Mgwassa amesema kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu ni...
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA YATEMBELEA KITUO CHA BUHANGIJA, MKOANI SHINYANGA
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-z08H9D9XJeY/VhGoqOYpfGI/AAAAAAAEAAo/bk1Yliz6Bx0/s72-c/IMG-20151004-WA0003.jpg)
HARRIS HENRY WIMILE KUTOKA KIDUGALA SEMINARY NJOMBE
![](http://2.bp.blogspot.com/-z08H9D9XJeY/VhGoqOYpfGI/AAAAAAAEAAo/bk1Yliz6Bx0/s640/IMG-20151004-WA0003.jpg)
9 years ago
Mwananchi01 Jan
KUTOKA MEZA YA MHARIRI: Dk Magufuli anapomtaka Maalim Seif ‘apige kazi’ Z’bar
9 years ago
Vijimambo15 Oct
Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/ny5jqDXwym4n0tpsKGrRaxkzq_npES4_mUSr02A6pnLPb3PgPrWjGj-aIJUnZuOW8bKovk-2jjyQEfvSSwpo0YWUaaPb4OwfaBpz_Ubhe5fx3HdCMsecgVWsSHeZkHqn5cz1Hrk1SLamdV3Bi2-WMtGG3Q=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/10/Manongi-22-300x257.jpg)
Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...